Sahara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tengua pitio 957729 lililoandikwa na 41.59.28.153 (Majadiliano)
Mstari 3:
[[Picha:Sahara desert.jpg|thumb|250px|[[tuta la mchanga|Matuta ya mchanga]] katika Sahara]]
[[Picha:Irrigation in the Heart of the Sahara.jpg|thumb|right|250px|Kumwagilia ma[[shamba]] katikati ya Sahara]]
'''Sahara''' ni [[jangwa]] kubwa kabisa [[Afrika]] na jangwa la kwanza pia ulimwengunitatu kwa ukubwa [[ulimwengu]]ni baada ya [[Aktiki]] na [[Bara la Antaktiki]].
Ina [[eneo]] la [[kilometa za mraba]] 9,065,000, sawa na eneo la [[Marekani]] au karibu sawa na eneo lote ya [[Ulaya]].
 
Mstari 23:
 
== Jiolojia ==
SaharaSahari haikuwa jangwa wakati wote. Michoro ya watu wa zamani inaonekana katika milima ya Tibesti na Air inayoonesha watu wawindaji na wanyama kama [[viboko]] na [[mamba]] wanaohitaji [[maji]] mengi. Wataalamu wamegundua kutokana na utafiti wa mawe na udongo ya kwamba eneo la Sahara lilikuwa na vipindi vikavu na vipindi vya mvua nyingi.
 
Mnamo miaka 7000 iliyopita Sahara ilikuwa eneo nusu yabisi penye maji katika mito mirefu. Labda inawezekana kuilinganisha na [[Kenya]] ya Kaskazini ya leo. Watu waliwinda na kufuga wanyama.