Kongo ya Kibelgiji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Flag of Congo Free State.svg|thumbnail|200px|Bendera ya Kongo ya Kibelgiji]]
'''Kongo ya Kibelgiji''' ni jina la [[koloni]] la [[Ubelgiji]] katika [[Afrika ya Kati]] hasa katika [[beseni]] ya [[mto Kongo]] kati ya mwaka [[1908]] hadi [[1960]].
 
'''KongoLeo ya Kibelgiji'''hii ni jina la [[koloni]]Jamhuri ya [[Ubelgiji]] katika [[AfrikaKidemokrasia ya KatiKongo]]. hasaKatika katikamiaka [[beseni1925]] ya [[mto Kongo]] kati ya 1908 hadi 1960. Leo hii ni [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo1946]]. Kati ya 1925 hadi 1946 maeneo ya [[Rwanda]] na [[Burundi]] yalitawaliwa kama sehemu za Kongo ya Kibelgiji.
 
== Koloni binafsi yala mfalme kuwa koloni yala Ubelgiji ==
Kongo ya Kibelgiji ilianzishwa wakati wa kuhamishwa kwa [[Dola huru la Kongo]] kutoka [[mali ya]] binafsi ya [[mfalme]] [[Leopold II wa Ubelgiji]] kwenda mkononimikononi mwa [[serikali]] ya [[Ubelgiji]] mwaka 1908. Utawala wa mfalme ulionekana kuwa kinyama na pinzani dhidi yake ulikuwa katika nchi nyingi za dunia. Alipaswa kukabidhi koloni yake ya binafsi mkonono mwa serikali ya Ubelgiji iliyomlipa fidia kwa mali aliyoacha.
[[Picha:MutilatedChildrenFromCongo.jpg|thumbnail|200px|Picha za watoto waliokatwa mikono kama adhabu chini ya Leopold II zilienea na kusababisha madai ya kumwondolea utawala wa Kongo]]
== Siasa ya Wakoloni ==
Wabelgiji walijitahidi kuboresha hali ya maisha kwa wenyeji baada ya miaka mibaya ya Leopold II. Nia ilicheleweka kuonekana hali halisi kwa sababu utaratibu wa kulazimisha Waafrika kufanyia kazi makampuni na shirika kubwa iliendelea hata bila idhini ya serikali mpya ukadai vifo vingi.
 
Utawala wa mfalme ulionekana kuwa wa kinyama na upinzani dhidi yake ulikua katika nchi nyingi za dunia. Alipaswa kukabidhi koloni lake binafsi mikononi mwa serikali ya Ubelgiji iliyomlipa [[fidia]] kwa mali aliyoacha.
Kwenye uwanja wa elimu, matibabu na mawasiliano jitihada za siasa mpya zilionekana zaidi. Kongo ilikuwa kati ya nchi chache ambako lugha za kienyeji zilifundishwa mashuleni kwa sababu shule nyingi ziliendshwa na wamisionari. Kwa upande mwingine ubaguzi wa rangi iliwaruhusu Waafrika wachache sana kufikia ngazi za juu za elimu.
[[Picha:MutilatedChildrenFromCongo.jpg|thumbnail|200px|Picha za watoto waliokatwa mikono kama [[adhabu]] chini ya Leopold II zilienea na kusababisha madai ya kumwondolea utawala wa Kongo]]
== Siasa ya Wakoloniwakoloni ==
Wabelgiji walijitahidi kuboresha hali ya maisha kwaya wenyeji baada ya miaka mibaya ya Leopold II. Nia ilichelewekailichelewa kuonekana hali halisi kwa sababu utaratibu wa kulazimisha Waafrika kufanyia kazi makampunikampuni na shirika kubwa iliendelea hata bila [[idhini]] ya serikali mpya ukadai vifo vingi.
 
Kwenye uwanja wa [[elimu]], [[matibabu]] na [[mawasiliano]] [[jitihada]] za siasa mpya zilionekana zaidi. Kongo ilikuwa kati ya nchi chache ambako lugha za kienyeji zilifundishwa mashuleni[[Shule|shuleni]] kwa sababu shule nyingi ziliendshwa na [[wamisionari]]. Kwa upande mwingine ubaguzi wa rangi iliwaruhusu Waafrika wachache sana kufikia ngazi za juu za elimu.
 
Kwa upande mwingine [[ubaguzi wa rangi]] uliwaruhusu Waafrika wachache sana kufikia ngazi za juu za elimu.
Makampuni makubwa ya [[mgodi|migodi]] kama vile "Société Générale" na "Union Minière du Haut Katanga" yalichimba [[madini]] hasa katika jimbo la [[Katanga]]. Makampuni haya yalikuwa na athira kubwa.

Katanga ilikuwa maarufu kwa [[shaba]] iliyochimbwa huko. halafu pia kwa [[uranium]] iliyotumiwa kwa [[bomu yala kinyuklia|bomumabomu zaya kwanza ya kinyuklia]] zaya [[Marekani]] mwaka [[1945]].
 
== Upinzani ==
Baada ya [[unyama]] wa miaka ya Leopold II upinzani dhidi ya utawala wa kikoloni ulikuwa hafifu. Kuanzia [[miaka ya 1920]] Wakongo wengi walionyesha upizanoupinzani huuhuo katika mahudhurio katika dhehebumadhehebu jipyamapya laya wafuasi wa [[Simon Kimbangu]] lililopigwayaliyopigwa maarufumarufuku na Wabelgiji kuanzia mwaka [[1926]].
 
Tangu mwaka [[1950]] upinzani uliongezeka na kuonyesha pia uso wa kisiasa.
 
Wabelgiji ambao hawakujiandaa kwa madai hayo yalipaswa kukubali [[uchaguzi]] wa halmashauri za vijiji na miji mwaka [[1957]].
 
Tangu 1950 upinzani uliongezeka na kuonyesha pia uso wa kisiasa. Wabelgiji ambao hawakujiandaa kwa madai haya yalipaswa kukubali uchaguzi wa halmashauri za vijiji na miji mwaka 1957.Mwaka [[1958]] vyama vya kisiasa vilikubaliwa. [[Harakati]] mbili muhimu kati ya hivi zilikuwa Abako (Alliance de Bakongo) chini ya [[Joseph Kasavubu]] na MNC (Mouvement National Congolais) chini ya [[Patrice Lumumba]]. 1959 mkutano wa wanaisasa Wakongo ulidai uhuru wa nchi.
 
Mwaka [[1959]] mkutano wa wanasiasa Wakongo ulidai [[uhuru]] wa nchi.
Tangu 1950 upinzani uliongezeka na kuonyesha pia uso wa kisiasa. Wabelgiji ambao hawakujiandaa kwa madai haya yalipaswa kukubali uchaguzi wa halmashauri za vijiji na miji mwaka 1957. 1958 vyama vya kisiasa vilikubaliwa. Harakati mbili muhimu kati ya hivi zilikuwa Abako (Alliance de Bakongo) chini ya [[Joseph Kasavubu]] na MNC (Mouvement National Congolais) chini ya [[Patrice Lumumba]]. 1959 mkutano wa wanaisasa Wakongo ulidai uhuru wa nchi.
 
== Mwisho wa koloni na uhuru ==
Wabelgiji walijaribu kuchelewesha harakati hizo lakini baada ya kutambua matatizo serikali ya Ubelgiji ilitangaza katikamnamo Januari [[1960]] kuwa uchaguzi utaendeshwa haraka na baada ya miezi sita Wabelgiji watakabidhi nchi kwa wenyeji.
 
[[Chama]] cha Patrice Lumumba kilishinda kwa [[kura]] nanyingi Patrice Lumumbanaye alikuwaakawa kiongozi wa kwanza wa nchi huru kama [[waziri mkuu]].
 
== Tovuti za Njenje ==
[http://www2.fmg.uva.nl/lpca/aps/vol4/vocabulaireintro.html Historia ya Kongo kwa Kiswahili cha Kishaba (Katanga) " Vocabulaire de ville de Elisabethville" pamoja na tafsiri ya Kiingereza]