Tabora (mji) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d fixing dead links |
No edit summary |
||
Mstari 17:
}}
'''Tabora''' ni mji wa kihistoria ya [[Tanzania]] ya kati na makao makuu ya [[mkoa wa Tabora]]. Eneo lake ni manisipaa na pia wilaya. Mwaka
== Historia ==
Mji ulianzishwa
Mwaka 1871 jeshi la [[rugaruga]] wa Mtemi Mirambo ilishambulia mji. Ukajengwa upya. Tangu 1890 Wajerumani walianza kufika na baada ya kushinda Wanyamwezi walifanya Tabora kuwa kitovu chao katika [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] ya kati; mji ukawa kituo cha kikosi cha jeshi na pia kikosi cha polisi.
Umuhimu wa Tabora ikaongezeka kwa ujenzi wa [[reli ya kati]] iliyounganisha pwani na [[Ziwa Tanganyika]] ikipita Tabora na karahana muhimu ya reli ikawekwa hapa mjini.
1916 Tabora ilivamiwa na Wabelgiji waliowafukuza Wajerumani lakini baada ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] mji ukawa sehemu ya [[Tanganyika]].
|