Kizazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kizazi''' ni kundi la watu waliozaliwa takriban wakati wa pamoja na kuwawaliokuwa watoto na vijana pamoja. KwaDhana hiyo inafanana kiasi fulani na "[[rika]]" katika jamii za Kiafrika lakini haitegemei sherehe za pamoja jinsi ilivyo katika rika.
 
Kwa lugha nyingine kizazi ni pia watu ndani ya [[familia]] au ukoo ambao wamekuwa [[wazazi]] takriban wakati moja kwa kutofautisha na kizazi cha mababu waliotangulia au kizazi cha viijana kinachofuata.
 
Kutokana na matumizi haya neno latumiwa pia kwa kutaja kipindi cha miaka kadhaa, mara nyingi miaka 20 au 25.
 
[[jamii:Utamaduni]]