Msimbo wa posta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Msimbo wa posta''' <ref>wakati mwingine pia: postikodi</ref> ([[ing.]] ''post code'', ''ZIP'' au ''PIN'') ni ufutanao wa [[tarakimu]] au herufi unaotaja eneo ambako [[barua]] inatakiwa kufikishwa.
 
Siku hizi [[posta]] za nchi nyingi za dunia hutumia misimomisimbo hii. Kusudi lake ni kurahisisha kazi ya kuchambua na kutenganisha barua zinazopokelewa kufuatana na mahali zinapotumwa. Si lazima tena mfanyakazi wa posta ajue mahali pengi inatosha kugawa barua kufuatana na misimbo iliyoandikwa kwenye bahasha. Kwa hiyo misimbo hupangwa kufuatana na utaratibu wa kugawa na kusafirisha barua.
 
Kwa matumizi ya teknolojia ya kisasa kuna pia mashine zinazochambua barua zikitambua namba kwenye bahasha.