Mikoa ya Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Att.: This was changed in 2012. '''
[[Picha:Tanzania,_administrative_divisions_-_sw_-_colored.svg|thumbnail|400px|Ramani ya mikoa ya Tanzania mwaka 2012]]
{{Politics of Tanzania}}
'''[[Tanzania]]''' imegawanyika katika mikoa 30 (miji mikuu imewekwa kwenye mabano):.
 
==Historia ya mikoa==
Mwaka 1975 idadi ya mikoa ilikuwa 25 pekee. Mwaka 2002 Mkoa wa Ziwa-Magharibi ikabadilishwa jina kuwa Mkoa wa Kagera. Mkoa wa Arusha ukagawiwa mwaka 2003 kuwa mikoa miwili ya Arusha na Manyara.
 
Mwaka 2012 mikoa minne mipya ilianzishwa ambayo ni
*mkoa wa Geita, kutoka maeneo ya Mkoa wa Mwanza
*Mkoa wa Katavi, kutoka maeneo ya Mkoa wa Rukwa
*Mkoa wa Njombe, kutoka maeneo ya Mkoa wa Iringa
*Mkoa wa Simiyu, kutoka maeneo ya Mkoa wa Shinyanga
 
==Mikoa tangu 2012==
Tangu mwaka 2012 mikoa 30 ya Tanzania ni kama ifuatayo:
 
*[[Mkoa wa Arusha|Arusha]] ([[Arusha]])