Mikoa ya Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
 
==Historia ya mikoa==
Mwaka 1975 idadi ya mikoa ilikuwa 25 pekee, kati ya hii 20 kwenye bara na 5 kwenye visiwa vya Unguja na Pemba. Mwaka 2002 Mkoa wa Ziwa-Magharibi ikabadilishwa jina kuwa Mkoa wa Kagera. Mkoa wa Arusha ukagawiwa mwaka 2003 kuwa mikoa miwili ya Arusha na Manyara.
 
Mwaka 2012 mikoa minne mipya ilianzishwa ambayo ni