Mikoa ya Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 298:
[[Arusha]], [[Bagamoyo]], [[Bukoba]], [[Daressalam]], [[Dodoma]], [[Iringa]] (si tena mkoa wa kijeshi), [[Kilwa]], [[Kondoa-Irangi]], [[Lindi]], [[Mahenge]] (si tena mkoa wa kijeshi), [[Morogoro]], [[Moshi]], [[Mwanza]], [[Pangani]], [[Rufiji]], [[Rungwe]], [[Songea]], [[Tabora]], [[Tanga]], [[Ufipa]] (badala ya Bismarckburg), [[Ujiji]] na [[Usambara]] (badala ya Wilhelmstal).
 
Katika miaka ijayo mfumo huu wa kiutawala ukabadilishwa. Mnamo mwaka 1948 Waingereza walikuwa na majimbo ("provinces") ifuataoyafuatayo:
{| class="wikitable"
!Na.
Mstari 346:
|}
 
Mwaka 1961 Jimbo la Mashariki likagawiwa na Dar es Salaam kuwa jimbo la pekee. Ziwa Magharibi ikatengwa na Mkoa wa Ziwani.
 
==Nyakati za uhuru==