Urekebisho wa Kikatoliki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 56 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q128168 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Rome-EgliseGesu-Intérieur.jpg|350px|thumb|Undani wa [[Chiesa del Gesù]], mjini [[Roma]], kielelezo cha Urekebisho wa Kikatoliki. Humo amezikwa [[Ignas wa Loyola]], [[mwanzilishi]] wa [[Wajesuiti]], shirika la kitawa muhimu zaidi katika kupinga uenezi wa Uprotestanti.]]
 
'''Urekebisho wa Kikatoliki''' ulikuwa kipaumbele cha [[Ukristo|Wakristo]] wengi wa [[Kanisa Katoliki]] hasa katika [[karne XV]] na [[karne ya 16|XVI]].
 
Line 7 ⟶ 6:
# Mafundisho ya [[imani]]
# Miundo ya [[Kanisa]]
# [[Historia ya Utawa|Utawa]]
# [[Historia ya utawa|Matapo ya kiroho]]
# Majukumu ya ki[[siasa]]
 
Juhudi hizo zilipata nguvu mpya baada ya [[Matengenezo ya Kiprotestanti]] (yaliyoanzishwa na [[Martin Luther]] mwaka [[1517]]) kupamba [[Ulaya]] Kaskazini kuanzia [[Ujerumani]]. Kwa sababu hiyo ukaja kuitwa ([[1776]]) 'Counter-Reformation'. Ukweli ni kwamba urekebisho wa Kikatoliki ulianza kabla ya [[Uprotestanti]], hasa [[Italia]], ukaendelea sambamba nao.
 
[[Picha:Council Trent.jpg|250px|thumb|Kikao cha Mtaguso wa Trento kilivyochorwa wakati huo]]
Pamoja na hayo ni kwamba, baada ya Uprotestanti kuanza, juhudi zilielekea pia kuzuia uenezi wake na kuurudisha nyuma katika maeneo mbalimbali, k.mf. [[Polandi]].
Juhudi hizo zilipitishwa na [[Mtaguso wa Trento]], ambao ndio [[mtaguso mkuu]] wa Kanisa Katoliki uliodumu muda mrefu zaidi ([[1545]]–[[1563]]) na kutoa mafundisho na maagizo mengi zaidi. Katika hayo upande mmoja ilionekana nia ya kupokea baadhi ya hoja za [[Waprotestanti]], ambao kwa wakati huo walikuwa wameshaganyika makundimakundi, upande mwingine ilionekana nia ya kutetea [[imani sahihi]] ya [[mapokeo ya mitume]] pale ambapo msimamo wao ulitazamwa kuwa [[uzushi]], kwa mfano kuhusu [[sakramenti]].
[[Picha:Council Trent.jpg|250px350px|thumb|Kikao cha Mtaguso wa Trento kilivyochorwa wakati huo]]
Juhudi hizo zilipitishwa na [[Mtaguso wa Trento]], ambao ndio [[mtaguso mkuu]] wa Kanisa Katoliki uliodumu muda mrefu zaidi ([[1545]]–[[1563]]) na kutoa mafundisho na maagizo mengi zaidi.
 
Juhudi hizo zilipitishwa na [[Mtaguso wa Trento]], ambao ndio [[mtaguso mkuu]] wa Kanisa Katoliki uliodumu muda mrefu zaidi ([[1545]]–[[1563]]) na kutoa mafundisho na maagizo mengi zaidi. Katika hayo upande mmoja ilionekana nia ya kupokea baadhi ya hoja za [[Waprotestanti]], ambao kwa wakati huo walikuwa wameshaganyikawameshagawanyika makundimakundi, upande mwingine ilionekana nia ya kutetea [[imani sahihi]] ya [[mapokeo ya mitume]] pale ambapo msimamo waowa Waprotestanti ulitazamwa kuwa [[uzushi]], kwa mfano kuhusu [[sakramenti]].
 
[[Jamii:Historia ya Kanisa]]