Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 170:
== Utamaduni ==
== Dini ==
Wajapani wanaweza kushiriki [[ibada]] za [[dini]] mbalimbali kadiri wanavyojisikia, lakini [[asilimia]] 60 hawana dini maalumu. [[Wabuddha]] ni asilimia 34, wafuasi wa [[madhehebu]] ya [[Shinto]] ni asilimia 4, [[Wakristo]] sanasana ni asilimia 2.3.
 
==Tanbihi==