Mahenge Mjini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
'''Mahenge''' ni mji mdogo na makao makuu ya [[Wilaya ya Ulanga]] katika [[Mkoa wa Morogoro]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 7,303 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/ulanga.htm|title=Repoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002|publisher=Serikali ya [[Tanzania]]|language=en|accessdate=|archiveurl=http://web.archive.org/web/20031228063049/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/ulanga.htm|archivedate=2003-12-28}}</ref>
 
Mji wa Mahengu ulianzishwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani ukawa kituo cha kikosi cha 12 cha jeshi la [[Schutztruppe]] na makao makuu ya [[mkoa wa Mahenge]] katikawa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]], baadaye pia wa [[Tanganyika]] katika miaka ya kwanza chini ya utawala wa Uingereza.
 
==Marejeo==