Jamhuri ya Watu wa China : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) |
No edit summary |
||
Mstari 15:
|government_type = [[Ujamaa]] [[republic]]<sup>2</sup> <!--"Socialist republic" is the formal description used by the Encyclopaedia Britannica-->
|leader_titles = [[Rais wa Jamhuri ya Watu wa China|Rais]]<br />[[Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China|Waziri Mkuu]]
|leader_names = [[Xi Jinping]]<br />[[
|largest_city = [[Shanghai]]
|area = km² 9,596,
|areami² = 3,
|area_rank = ya 3<sup>3</sup>
|area_magnitude = 1 E12
|percent_water =
|population_estimate = 1,
|population_estimate_year =
|population_estimate_rank = ya 1
|population_census = 1,
|population_census_year =
|population_density =
|population_densitymi² =
|population_density_rank = ya
|GDP_nominal = $2.224 [[trillion]]
|GDP_nominal_rank = ya 4
Mstari 57:
|footnotes = <sup>1</sup> Pamoja na Kichina cha Mandarin kile cha [[Kikanton]] ni lugha rasmi katika Hong Kong na Macau. [[Kiingereza]] ni pia lugha rasmi katika [[Hong Kong]] na [[Kireno]] huko [[Macau]]. Vilevile kuna lugha za kieneo yanayotumiwa rasmi kama vile [[Kiuyghur]] huko [[Xinjiang]], [[Kimongolia]] katika jimbo la [[Mongolia ya Ndani]], [[Kitibet]] huko [[Tibet]] na [[Kikorea]] katika mkoa wa Yanbian.<br />
}}
'''China''' (pia: '''Uchina, Sina''') au '''Jamhuri ya Watu wa China,''' ni nchi kubwa ya [[Asia ya Mashariki]] na nchi yenye watu wengi kuliko zote [[duniani]].
China imepakana na [[Vietnam]], [[Laos]], [[Myanmar]], [[India]], [[Bhutan]], [[Nepal]], [[Pakistan]], [[Afghanistan]], [[Tajikistan]], [[Kyrgyzstan]], [[Kazakhstan]], [[Urusi]], [[Mongolia]], [[Korea ya Kaskazini]].
Kuna pwani ndefu ya [[Bahari ya Kusini ya China]] na [[Bahari ya Mashariki ya China]] ambazo ni [[bahari ya kando]] ya [[Pasifiki]].
China kuna ma[[kabila]] tofauti 56. Walio wengi (92%) ni [[Wahan]]. [[Lugha rasmi]] ni [[Kichina]] cha [[Mandarin]] kinachotumiwa na [[asilimia]] 70 za wananchi.
[[Siasa]] inatawaliwa na [[chama cha kikomunisti]].
[[Mji mkuu]] ni [[Beijing]] lakini [[Shanghai]] ndio [[mji]] mkubwa.
[[Hong Kong]] iliyokuwa [[koloni]] la [[Uingereza]] na [[Macau]] iliyokuwa koloni la [[Ureno]] ni maeneo ya China yenye utawala wa pekee.
[[Taiwan]] na [[visiwa]] vingine vya [[Jamhuri ya China]] vinatazamwa na serikali ya Beijing kuwa majimbo chini yake lakini vimekuwa kama nchi ya pekee tangu mwaka [[1949]].
== Jiografia ==
China ina eneo la [[kilomita za mraba]] 9.6 hivyo ni nchi kubwa ya tatu au ya nne <ref>Baada ya Urusi na Kanada ambazo ni nchi mbili kubwa zaidi, China na [[Marekani]] ni karibu sawa; kama maeneo yanayodaiwa na China bila kukubaliwa na majirani yanahesabiwa mle
Sura ya nchi inaonyesha tabia tofautitofauti.
Upande wa [[kaskazini]], mpakani na [[Siberia]] na Mongolia, kuna maeneo yabisi pamoja na [[jangwa la Gobi]].
Kinyume chake upande wa [[kusini]], mpakani wa [[Vietnam]], [[Laos]] na [[Burma]], [[hali ya hewa]] ni [[nusutropiki]] yenye [[mvua]] nyingi inayolisha [[misitu]] minene.
Sehemu za [[magharibi]] zina [[milima]] mingi ambayo ni kati ya milima mirefu duniani kama [[Himalaya]] na [[Tian Shan]].
[[Mashariki]] ya nchi huwa na [[tambarare]] zenye [[rutuba]] na hapa ndipo kanda lenye wakazi wengi.
[[Upana]] wa China kati ya kaskazini na kusini ni [[kilomita]] 4,200 na kati ya mashariki na magharibi ni kilomita 4,200.
Pwani ina [[urefu]] wa kilomita 14,400.
Kuna [[mito]] mikubwa; mrefu zaidi ni [[Yangtse]] ([[km]] 6,300), Hwangho au [[Mto Njano]], [[Xi Jiang]] au mto wa Magharibi, [[Mekong]], [[Mto wa Lulu]], [[Brahmaputra]] na [[Amur]]. Mito hiyo yote ina vyanzo vyake katika milima mikubwa yenye [[usimbishaji]] mwingi, ikibeba [[maji]] kwenda tambarare pasipo mvua nyingi.
Jiografia hiyo ilikuwa chanzo cha [[kilimo cha umwagiliaji]] na kukua kwa ma[[dola]] ya kwanza.
Kutokana na madawa ya kilimo na maji machafu ya [[viwanda]] mito na [[Ziwa|maziwa]] ya China hupambana na machafuko makali; mwaka [[2007]] [[ziwa Tai]] lilisafishwa kwa [[gharama]] kubwa mno kwa sababu maji hayakufaa tena kwa mahitaji ya maji ya [[bomba]].
== Hali ya hewa ==
[[Picha:China precipitation.jpg|thumbnail|left|180px|Kanda za usimbishaji za China]]
Kuna kanda 18 za hali ya hewa zinazoonyesha tofauti kubwa kati yake. Upande wa magharibi, kaskazini na kaskazini-mashariki huwa na [[majira]] yenye [[joto kali]] na [[baridi kali]]. Upande wa kusini ina tabia ya [[tropiki]] au nusutropiki. Tibet huwa na hali ya hewa kulingana na kimo chake juu ya mita 4,000.
[[Ramani]] ya usimbishaji inaonyesha ya kwamba [[kilimo]] kinawezekana katika nusu ya kusini na kusini-mashariki ya nchi tu. Upande wa kaskazini na magharibi mvua ni ndogo mno. Mstari mwekundu unaonyesha mpaka na juu yake usimbishaji ni chini ya [[milimita]] 390 kwa [[mwaka]].
== Historia ==
[[Historia ya China]]
* [[Nasaba ya Qin]] (
* [[Nasaba ya Han]] ([[206
* Kipindi cha milki tatu (
* [[Nasaba ya Jin]] (
* Kipindi cha nasaba za kusini na kaskazini (
* [[Nasaba ya Sui]] (
* [[Nasaba ya Tang]] (
* Nasaba tano na milki kumi (
* [[Nasaba ya Song]] (
* [[Nasaba ya Yuan]] (1279 - [[1368]])
* [[Nasaba ya Ming]] (1368 - [[1644]])
* [[Nasaba ya Qing]] (1644 - [[1911]])
Utawala wa kifalme uliendelea hadi [[mapinduzi ya Kichina ya 1911]].
Baada ya kipindi cha
Wakati wa [[vita kuu ya pili ya dunia]] sehemu kubwa ilitwaliwa na [[Japani]]. Baada ya mwisho wa vita kuu [[Wakomunisti]] waliendelea kupingana na serikali na mwaka 1949 Kuomintang ilishindwa. Wakomunisti == Siasa ==
[[Serikali]] ya China inatawala
Kikatiba chombo kikuu ni [[Bunge]] la umma la China linalomchagua rais, serikali, [[mahakama kuu]], kamati kuu ya kijeshi na [[mwanasheria mkuu]]. Lakini hali halisi maazimio yote ya bunge ni utekelezaji tu wa
Uongozi
Kuna pia "maeneo yenye utawala wa pekee" ambayo ni [[Hongkong]] na [[
== Watu ==
China ikiwa na wakazi milioni 1,376 ni nchi yenye watu wengi zaidi duniani. [[Historia]] yake yote iliona tena na tena vipindi vya [[njaa]] kutokana na idadi kubwa ya watu wake. [[Msongamano]] wa watu kwa [[wastani]] ni wakazi 145 kwenye kila [[kilomita ya mraba]]. Lakini tofauti ziko kubwa kati ya miji mikubwa ambako milioni 115 wanakaa kwenye eneo la km² 50,000 na Tibet yenye watu 2 tu kwa kilomita ya mraba.
Zaidi ya [[asilimia]] 90 za wakazi wote wanakaa katika [[theluthi]] ya kusini-mashariki ya nchi yenye mvua ya kutosha. Ndani ya theluthi hiyo ni nusu ya Wachina wote wanaosongamana kwenye asilimia 10 za China yote, maana yake katika 10% hizi kuna msongamano wa watu 740 kwa km².
Wakazi walio wengi ni [[Wahan]] au Wachina wenyewe. Wanatumia hasa [[lahaja]] mbalimbali za [[lugha]] ya [[Kichina]]. Pamoja na Wahan kuna ma[[kabila]] 55 yaliyotambuliwa na [[serikali]]. Kwa jumla [[lugha hai]] ni 292 ambazo zinahusika na makundi mbalimbali ya lugha.
Serikali inafuata rasmi [[ukanamungu]], lakini inaruhusu [[dini]] kwa kiasi fulani. Pamoja na hayo, dhuluma zinaendelea dhidi ya [[madhehebu]] mbalimbali. Takwimu hazieleweki, pia kwa sababu kabla ya Ukomunisti kupinga dini, hasa wakati wa [[Mapinduzi ya utamaduni]], watu waliweza kuchanganya mafundisho na [[desturi]] za [[Ukonfusio]], [[Utao]] na [[Ubuddha]]. Leo wanaoendelea kufanya hivyo wanakadiriwa kuwa asilimia 30-80 za wakazi. Wabuddha ni 6-16%, [[Wakristo]] (hasa [[Waprotestanti]], halafu [[Wakatoliki]] na kidogo [[Waorthodoksi]]) ni 2-4%, [[Waislamu]] ni 1-2%.
== Tazama pia ==
Line 123 ⟶ 147:
* [[Orodha ya nasaba za Kichina]]
==
{{marejeo}}
== Marejeo ==
* {{Cite book|last=Meng |first=Fanhua |title=Phenomenon of Chinese Culture at the Turn of the 21st century |year=2011 |publisher=Silkroad Press |location=Singapore |isbn=978-981-4332-35-4}}
* Farah, Paolo (2006). "Five Years of China's WTO Membership: EU and US Perspectives on China's Compliance with Transparency Commitments and the Transitional Review Mechanism". ''Legal Issues of Economic Integration''. Kluwer Law International. Volume 33, Number 3. pp. 263–304. [http://papers.ssrn.com/sol3/papers.cfm?abstract_id=916768 Abstract].
* Heilig, Gerhard K. (2006/2007). ''[http://www.china-profile.com/bib/bib_start.htm China Bibliography – Online].'' China-Profile.com.
* [[Martin Jacques|Jacques, Martin]] (2009).''[[When China Rules the World: The End of the Western World and the Birth of a New Global Order]]''. Penguin Books. Revised edition (28 August 2012). ISBN 978-1-59420-185-1.
* {{Cite book|author=Sang Ye |title=China Candid: The People on the People's Republic |year=2006 |publisher=[[University of California Press]] |isbn=0-520-24514-8}}
* {{Cite book|last=Selden |first=Mark |title=The People's Republic of China: Documentary History of Revolutionary Change |year=1979 |publisher=Monthly Review Press|location=New York |isbn=0-85345-532-5}}
{{refend}}
===Vyanzo kuhusu dini===
* Adler, Joseph A. ''[http://www2.kenyon.edu/Depts/Religion/Fac/Adler/Writings/Still%20Hazy%20-%20Minzu.pdf Confucianism as a Religious Tradition: Linguistic and Methodological Problems]''. Kenyon College, 2014.
* {{cite conference | first = Joseph A. |last = Adler |pages = |title = The Heritage of Non-Theistic Belief in China |editor-first = |editor-last = |conference = (Conference paper) Toward a Reasonable World: The Heritage of Western Humanism, Skepticism, and Freethought | location = San Diego, CA |date = 2011 |url = http://www2.kenyon.edu/Depts/Religion/Fac/Adler/Writings/Non-theistic.pdf |ref = harv}}
* Billioud, Sébastien. ''[http://www.oriens-extremus.de/inhalt/pdf/49/OE49-09.pdf Carrying the Confucian Torch to the Masses: The Challenge of Structuring the Confucian Revival in the People's Republic of China]''. On: ''OE'' 49 (2010)
* {{cite book |last = Billioud |first = Sébastien; Joel Thoraval |year = 2015 |title = The Sage and the People: The Confucian Revival in China |publisher = Oxford University Press |url = https://books.google.com/books?id=jZLxCQAAQBAJ |isbn = 0190258144|ref = harv}}
* Chan, Kim-Kwong. ''Religion in China in the Twenty-first Century: Some Scenarios''. On: ''Religion, State & Society'', Vol. 33, No. 2. Routledge, June 2005.
* Chen, Yong. ''Confucianism as Religion: Controversies and Consequences''. Brill, 2012. ISBN 9004243739
* Clart, Philip. ''[http://home.uni-leipzig.de/clartp/Yanjiu%20xin%20shijie%202014.pdf Conceptualizations of "Popular Religion" in Recent Research in the People's Republic of China]''. In: Wang Chien-chuan, Li Shiwei, Hong Yingfa; ''Yanjiu xin shijie: “Mazu yu Huaren minjian xinyang” guoji yantaohui lunwenji''. Taipei: Boyang, 2014. pp. 391–412
* Clart, Philip. ''[http://www.uni-leipzig.de/~clartp/Clart%202003.pdf Confucius and the Mediums: Is There a "Popular Confucianism"?]''. On: ''T'uong Pao LXXXIX''. Brill, Leiden, 2003.
* Didier, John C. ''In and Outside the Square: The Sky and the Power of Belief in Ancient China and the World, c. 4500 BC – AD 200'': ''[http://sino-platonic.org/complete/spp192_vol1.pdf Volume I: The Ancient Eurasian World and the Celestial Pivot]'', ''[http://sino-platonic.org/complete/spp192_vol2.pdf Volume II: Representations and Identities of High Powers in Neolithic and Bronze China]'', ''[http://sino-platonic.org/complete/spp192_vol3.pdf Volume III: Terrestrial and Celestial Transformations in Zhou and Early-Imperial China]''. On: ''[[Sino-Platonic Papers]]'', n. 192, 2009. Victor H. Mair, University of Pennsylvania.
* {{citation | last = Craig | first = Edward | title = Routledge Encyclopedia of Philosophy, Volume 7 | year = 1998 | publisher = Taylor & Francis | isbn = 9780415073103}}
* Fan Lizhu, Chen Na. ''Revival of Confucianism and Reconstruction of Chinese Identity''. Paper presented at: ''The Presence and Future of Humanity in the Cosmos'', ICU, Tokyo, 18–23 March 2015. '''(a)'''
* Fan Lizhu, Chen Na. ''[http://fudan-uc.ucsd.edu/_files/201306_China_Watch_Fan_Chen.pdf The Revival of Indigenous Religion in China]''. Published on ''[http://fudan-uc.ucsd.edu/china%20watch/index.html China Watch]'', Fudan-UC Center for China Studies, [[Fudan University]], 2013.
* Fan Lizhu, Chen Na. ''The Religiousness of "Confucianism" and the Revival of Confucian Religion in China Today''. On: ''Cultural Diversity in China'' 1: 27-43. De Gruyter Open, 2015. ISSN 2353-7795, DOI: 10.1515/cdc-2015-0005
* {{cite book | last = Fingarette | first = Herbert | year = 1972 | title = Confucius: The Secular as Sacred | publisher = Harper| location = New York | url = https://books.google.com/books?id=lawUAAAAQBAJ&printsec=frontcover#v=onepage&q&f=false | isbn = | ref = harv}}
* Fowler, Jeaneane D. ''An Introduction to the Philosophy and Religion of Taoism: Pathways to Immortality''. Sussex Academic Press, 2005. ISBN 1845190866
* Goossaert, Vincent, David Palmer. ''The Religious Question in Modern China''. University of Chicago Press, 2011. ISBN 0226304167
* Jing, Jun. ''The Temple of Memories: History, Power, and Morality in a Chinese Village''. Stanford University Press, 1996. ASIN: B004FPIAVW
* {{cite book | last = Kuhn | first = Robert Lawrence | url = https://books.google.com/books?id=4j5UoOoQZCIC&printsec=frontcover#v=onepage&q&f=false | year = 2011 | title = How China's Leaders Think: The inside Story of China's Reform and What This Means for the Future | publisher = John Wiley & Sons | location = Singapore | isbn = 9780470824450 | ref = harv}}
* Lagerway, John. ''China: A Religious State''. Hong Kong, University of Hong Kong Press, 2010. ISBN 9888028049
* {{cite journal | last = Laliberté |first = André | title = Religion and the State in China: The Limits of Institutionalization | journal = Journal of Current Chinese Affairs | volume = 40 |issue = 2 | pages = 3–15 |publisher = | location = | date =2011 | language = | url = http://journals.sub.uni-hamburg.de/giga/jcca/article/view/415/413 | jstor = | issn = | doi = | accessdate = | ref = harv}}
* [[Ulrich Libbrecht|Libbrecht, Ulrich]]. ''[http://books.google.com/books?id=rmT3ZHGxJPgC&printsec=frontcover&dq=isbn:9042918128&hl=en&sa=X&ei=yQd5VPDJE4OngwTk44GQCQ&ved=0CB8Q6AEwAA#v=onepage&q&f=false Within the Four Seas...: Introduction to Comparative Philosophy]''. Peeters Publishers, 2007. ISBN 9042918128
* Littlejohn, Ronnie. ''Confucianism: An Introduction''. I. B. Tauris, 2010. ISBN 184885174X
* Lü Daji, Gong Xuezeng. ''[https://books.google.com/books?id=6r0FAwAAQBAJ&source=gbs_navlinks_s Marxism and Religion]''. Brill, 2014. ISBN 9047428021
* Miller, James. ''[https://books.google.com/books?id=S4vg8BQrqA4C&source=gbs_navlinks_s Chinese Religions in Contemporary Societies]''. ABC-CLIO, 2006. ISBN 1851096264
* {{cite book |first = Randal L. | last = Nadeau |title = The Wiley-Blackwell Companion to Chinese Religions | publisher = Blackwell | location = Malden, MA | date = 2012 | url = http://books.google.com/books?id=yQnFKpTepo8C&printsec=frontcover#v=onepage&q&f=false |ref = harv}}
* {{cite book | last = Overmyer | first = Daniel L. | year = 2009 | title = Local Religion in North China in the Twentieth Century the Structure and Organization of Community Rituals and Beliefs | publisher = Brill | location = Leiden; Boston | url = http://cnqzu.com/library/To%20Organize/Books/Brill%20Ebooks/Brill._Handbook_of_Oriental_Studies/Brill.%20Handbook%20of%20Oriental%20Studies/Local_Religion_in_North_China_in_the_Twentieth_Century__Handbook_of_Oriental_Studies_.pdf | isbn = 9789047429364 | ref = harv}}
* Overmyer, Daniel. ''Religion in China Today''. Cambridge University Press, 2003. ISBN 0521538238
* Palmer, David A., Glenn Landes Shive, Glenn Shive, Philip L. Wickeri. ''Chinese Religious Life''. Oxford University Press, 2011. ISBN 0199731381
* Palmer, D. A. ''[http://hub.hku.hk/bitstream/10722/139685/1/Content.pdf?accept=1 Chinese Redemptive Societies and Salvationist Religion: Historical Phenomenon or Sociological Category?]''. On: ''Journal of Chinese Ritual, Theatre and Folklore'', V. 172, 2011, p. 21-72
* Pas, Julian F. ''Historical Dictionary of Taoism''. Part of: ''Historical Dictionaries of Religions, Philosophies, and Movements Series''. Scarecrow Press, 2014. ASIN: B00IZ9E7EI
* Ruokanen, Miikka, Paulos Zhanzhu Huang. ''Christianity and Chinese Culture''. William B. Eerdmans Publishing, 2011. ISBN 0802865569
* [[Barry Sautman|Sautman, Barry]]. ''Myths of Descent, Racial Nationalism and Ethnic Minorities in the People's Republic of China''. In: Frank Dikötter. ''The Construction of Racial Identities in China and Japan: Historical and Contemporary Perspectives''. Honolulu, University of Hawai'i Press, 1997, pp. 75–95. ISBN 9622094430
* Shahar, Meir, Robert Paul Weller. ''Unruly Gods: Divinity and Society in China''. University of Hawaii Press, 1996. ISBN 0824817249
* Shen, Qingsong, Kwong-loi Shun. ''Confucian Ethics in Retrospect and Prospect''. Council for Research in Values & Philosophy, 2007. ISBN 1565182456
* Shi, Yilong. ''The Spontaneous Religious Practices of Han Chinese Peoples — Shenxianism'' (中国汉人自发的宗教实践 — 神仙教). On: ''Journal of South-Central University for Nationalities (Humanities and Social Sciences)'' (中南民族大学学报 — 人文社会科学版), Vol. 28, No. 3, 2008.
* Teiser, Stephen F.''[http://afe.easia.columbia.edu/cosmos/bgov/cosmos.htm The Chinese Cosmos: Basic Concepts]'', extracts from: Stephen F. Teiser. ''The Spirits of Chinese Religion''. In: ''Religions of China in Practice''. Princeton University Press, 1996.
* Thien Do. ''Vietnamese Supernaturalism: Views from the Southern Region''. Series: ''Anthropology of Asia''. Routledge, 2003. ISBN 0415307996
* Wang, Robin R. ''Chinese Philosophy in an Era of Globalization''. State University of New York Press, 2004. ISBN 0791460061
* Yang, Fenggang, Graeme Lang. ''Social Scientific Studies of Religion in China''. Brill, 2012. ISBN 9004182462
* {{cite book | last = Yang | first = Mayfair Mei-hui | year = 2007 | authorlink = | title = Ritual Economy and Rural Capitalism with Chinese Characteristics | url = http://www.religion.ucsb.edu/Faculty/yangm_files/23CulturalPolitics.pdf | ref= harv}} Chapter of: David Held, Henrietta Moore. ''Cultural Politics in a Global Age: Uncertainty, Solidarity and Innovation'', Oxford: Oneworld Publications. ISBN 1851685502
* Yao, Xinzhong. ''[http://books.google.com/books?id=GuINLKnJp0AC&printsec=frontcover#v=onepage&q&f=false Chinese Religion: A Contextual Approach]''. Bloomsbury Academic, 2011. ISBN 1847064760
* Payette, Alex. ''[http://paperroom.ipsa.org/papers/paper_30036.pdf Shenzhen's Kongshengtang: Religious Confucianism and Local Moral Governance]''. Part of: ''Role of Religion in Political Life'', Panel RC43, 23rd World Congress of Political Science, 19–24 July 2014.
* Pregadio, Fabrizio. ''The Encyclopedia of Taoism'', 2 vol. Routledge, 2008. ISBN 9780700712007
* Tay, Wei Leong. ''[http://utcp.c.u-tokyo.ac.jp/publications/pdf/UTCPBooklet17_08_Tay.pdf Kang Youwei: The Martin Luther of Confucianism and His Vision of Confucian Modernity and Nation]''. In: Haneda Masashi, ''Secularization, Religion and the State'', University of Tokyo Center for Philosophy, 2010.
* Xie, Zhibin. ''Religious Diversity and Public Religion in China''. Ashgate Publishing, 2006. ISBN 9780754656487
* Zhou, Jixu. ''[http://www.sino-platonic.org/complete/spp167_old_chinese_proto_indo_european.pdf Old Chinese “*tees” and Proto-Indo-European “*deus”: Similarity in Religious Ideas and a Common Source in Linguistics]''. On: ''[[Sino-Platonic Papers]]'', n. 167, 2005. Victor H. Mair, University of Pennsylvania.
===Marejeo mengine===
* Bays, Daniel H. ''Christianity in China from the Eighteenth Century to the Present.'' (Stanford, CA: Stanford University Press, 1996). ISBN 0804726094.
* Ch'en, Kenneth K. S. ''Buddhism in China, a Historical Survey.'' (Princeton, N.J.,: Princeton University Press, The Virginia and Richard Stewart Memorial Lectures, 1961, 1964).
*[http://www.umass.edu/wsp/sinology/persons/degroot.html De Groot, J.J.M. (Jan Jakob Maria)], [http://classiques.uqac.ca/classiques/groot_jjm_de/religious_system_of_china/religious_system.html ''The Religious System of China: Its Ancient Forms, Evolution, History and Present Aspect, Manners, Customs and Social Institutions Connected Therewith''], Brill, Leiden, The Netherlands, 1892–1910. 6 volumes.
* Overmyer, Daniel L. ''Religions of China: The World as a Living System.'' (New York: Harper & Row, Religious Traditions of the World, 1986).
* {{Cite book | first=Jordan D.| last=Paper | year=1995 | title=The Spirits are Drunk: Comparative Approaches to Chinese Religion | publisher=State University of New York Press | location=Albany, New York | isbn=0791423158}}
* [[Arthur F. Wright|Wright, Arthur F.]]. ''Buddhism in Chinese History.'' (Stanford, CA: Stanford University Press, 1959; various reprints and translations).
* Yang, CK., ''Religion in Chinese Society'' (California U. Press, 1970)
* [[Xinzhong Yao]] and Yanxia Zhao, ''Chinese Religion'' (Continuum, 2010)
==Viungo vya nje==
{{Commons|China}}<!-- -->
* [http://english.peopledaily.com.cn/china/home.html China at a Glance] from ''[[People's Daily]]''
* [http://www.bbc.co.uk/news/world-asia-pacific-13017877 BBC News – China Profile]
* {{CIA World Factbook link|ch|China}}
* [http://ucblibraries.colorado.edu/govpubs/for/china.htm China, People's Republic of] from ''UCB Libraries GovPubs''
* {{Dmoz|Regional/Asia/China}}
* [http://www.britannica.com/EBchecked/topic/111803/China China]'s ''[[Encyclopædia Britannica]]'' entry
* [http://www.monthlyreview.org/1105wu.htm "Rethinking 'Capitalist Restoration' in China"] by Yiching Wu
* [http://www.ifs.du.edu/ifs/frm_CountryProfile.aspx?Country=CN Key Development Forecasts for China] from [[International Futures]]
* [https://web.archive.org/web/20110121002102/http://www.pbs.org/newshour/bb/asia/china/ "China on the Rise"]. PBS Online NewsHour. October 2005.
* [http://www.chinatoday.com/ ChinaToday.com]
;Serikali
* [http://english.gov.cn/ The Central People's Government of People's Republic of China]
* [http://www.china.org.cn/ China Internet Information Center] —Authorized government portal site to China
;Masomo
* [http://www.ifri.org/en/publications/enotes/proliferation-papers/assertive-pragmatism-chinas-economic-rise-and-its-impact "Assertive Pragmatism: China's Economic Rise and Its Impact on Chinese Foreign Policy"]. Minxin Pei (2006). IFRI Proliferation Papers. No. 15.
;Utalii
* [http://www.cnto.org/ China National Tourist Office] (CNTO)
;Ramani
* [http://maps.google.com/maps?q=China&ll=30.600094,103.710938&spn=64.10009,177.1875&om=1 Google Maps—China]
* {{Wikiatlas|the People's Republic of China}}
;Dini
* [http://www.chinabuddhism.com.cn/ Buddhist Association of China]
*[http://www.rujiazg.com/ China Confucian Philosophy]
*[http://www.rjzg.net/ China Confucian Religion]
* [http://www.chinakongmiao.org/ China Confucian Temples]
* [http://www.taoist.org.cn/ Chinese Taoist Association]
* [http://zumiao.jguo.cn/ China Ancestral Temples Network]
* [http://www.simiao.net/ China Temples and Monasteries Network]
* ''[http://afe.easia.columbia.edu/cosmos/bgov/intro.htm Living in the Chinese Cosmos]'', Asia for Educators, Columbia University.
;Media
* Euraxess Science Slam: [https://www.youtube.com/watch?v=R9wmseHCqv8 Meihuaquan and Community Life in North China]
* eRenlai Ricci: [http://www.youtube.com/watch?v=GGN7-IvjeAg The boundary between religion and the state in China by Prof. Lagerwey]
* GBTimes: [http://www.youtube.com/watch?v=dEWVG3X0XV4 THE DEBATE: Insight into religion in modern China (part 1)]—[http://www.youtube.com/watch?v=QN4dnEDwLGU Part 2]
* Berkeley Center: [http://www.youtube.com/watch?v=yM3icit9t5w Ritual Economy and Religious Revivial in Rural Southeast China]
* Berkeley Center: [http://www.youtube.com/watch?v=nyJSGDWHkUY Secularization Theory and the Study of Chinese Religions]
* Berkeley Center: [http://www.youtube.com/watch?v=g5Tik67VjPc Understanding Contemporary Religious Pluralism in China]
{{Coord|35|N|103|E|type:country|display=title}}
{{Asia}}
{{mbegu-jio-China}}
[[Jamii:Uchina| ]]
[[Jamii:Nchi za Asia]]
|