Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 61:
Wakazi walio wengi (80.5 %) hufuata [[dini]] ya [[Uhindu]]. Takriban 13.4 % ni [[Uislamu|Waislamu]]; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya tatu katika [[umma]] wa Kiislamu baada ya Waislamu wa [[Indonesia]]. Dini nyingine ni [[Ukristo]] (2.3%), [[Usikh]] (1,9%), [[Ubuddha]] (0.8%), [[Ujain]] (0.4%), [[Uzoroastro]] na [[Bahai]].
 
[[Lugha ya taifa|Lugha ]]<nowiki/>rasmi ni [[Kihindi]], ambacho ni [[lugha ya Kihindi-Kiulaya]], pamoja na [[Kiingereza]]. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana. Kusini mwa Uhindi watu husema [[lugha za Kidravidi]] kama [[Kikannada]], [[Kitelugu]], [[Kitamil]] na [[Kimalayalam]]. Kaskazini husema hasa [[Kipunjabi]], [[Kibengali]], [[Kigujarati]] na [[Kimarathi]]. Lugha ndogo chache ambazo sizo lugha za Kihindi-Kiulaya wala za Kidravidi ni [[lugha za Kisino-Tibeti]], [[lugha za Kiaustro-Asiatiki]] au [[lugha za Kitai-Kadai]]. Visiwani mwa Andaman, kulikuwa na [[lugha za Kiandamani]] lakini nyingi zao zimeshatoweka kabisa.
 
Kiutawala Uhindi ni [[shirikisho]] la [[jamhuri]] lenye majimbo ya kujitawala 29 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.