Kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
jamani tuna taka uhuru burundi
Mstari 1:
kwanini burundi hatuna hamani jamani tunataka uhuru katika nnchi yetu
'''Kamusi elezo''' (pia: '''ensiklopedia''') ni [[kitabu]] kinachojaribu kukusanya [[ujuzi]] wote wa [[ubinadamu]]. Siku hizi, [[Wikipedia]] ni kamusi elezo kubwa zaidi duniani. Zamani (kabla ya uumbaji wa Wikipedia) [[Encyclopedia Britannica]] ilikuwa kati ya kamusi elezo kubwa zaidi duniani.
 
Katika historia zilikuwepo majaribio mbalimbali kukusanya ujuzi wote wa dunia. Mfano bora wa kale ni [[kamusi ya Yongle]] kutoka China iliyotungwa karne ya 14 na wataalamu 2000 na kundikwa kwa mkono katika vitabu 1100.
 
Lakini kamusi elezo au ensiklopedia zilikuwa na athari kubwa sana tangu [[Johannes Gutenberg]] na kupatikana kwa uchapisho vitabu iliyoshusha kabisa bei ya vitabu kwa watu wengi.
 
Ensiklopedia ya kwanza ya kisasa iliyokuwa na athira kubwa sana ilikuwa "Encyclopédie ou Dictionnaire raisonné des sciences, des arts et des métiers" ya [[Denis Diderot]] pamoja na [[Jean Baptiste le Rond d’Alembert]] pamoja na waandishi zaidi ya 130 katika [[karne ya 18]]. Kamusi elezo hili likawa kati ya vyanzo vya harakati ya [[Zama za Nuru]].
 
{{mbegu-kitabu}}