Kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

d
no edit summary
(+picha)
dNo edit summary
Katika historia zilikuwepo majaribio mbalimbali kukusanya ujuzi wote wa dunia. Mfano bora wa kale ni [[kamusi ya Yongle]] kutoka China iliyotungwa karne ya 14 na wataalamu 2000 na kundikwa kwa mkono katika vitabu 1100.
 
Lakini kamusi elezo au ensiklopedia zilikuwa na athari kubwa sana tangu [[Johannes Gutenberg]] na kupatikana kwa uchapisho[[uchapaji]] wa vitabu iliyoshushaulioshusha kabisa bei ya vitabu kwa watu wengi.
 
Ensiklopedia ya kwanza ya kisasa iliyokuwa na athira kubwa sana ilikuwa "Encyclopédie ou Dictionnaire raisonné des sciences, des arts et des métiers" yailiyokusanywa na [[Denis Diderot]] pamoja na [[Jean Baptiste le Rond d’Alembert]] pamoja na waandishi zaidi ya 130 katika [[karne ya 18]] katika [[Ufaransa]]. Kamusi elezo hili likawa kati ya vyanzo vya harakati ya [[Zama za Mwangaza]].
 
{{mbegu-kitabu}}