Falme za Kiarabu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 3 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q878 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 51:
}}
'''Falme za Kiarabu''' (kwa [[
Shirikisho limepakana na [[Saudia]] na [[Omani]] kwenye nchi kavu; baharini kuna mipaka pia na [[Katar]] na [[Iran]].
[[Mji mkuu]] ni [[Abu Dhabi]] na [[mji]] mkubwa ni [[Dubai (mji)|Dubai]].
== Historia ==
Falme hizo zilikuwa [[nchi lindwa]] chini ya [[Uingereza]] hadi mwaka [[1971]].
== Wakazi ==
== Uchumi ==
Falme za Kiarabu zimekuwa [[nchi tajiri]] kutokana na akiba kubwa za [[mafuta ya petroli]]. Utajiri
[[Abu Dhabi]] ni emirati mwanachama kubwa; ina pia kiasi kikubwa cha petroli na [[mapato]] makubwa kutokana na mauzo ya mafuta.
Kazi nyingi za ofisini, viwandani, katika [[biashara]] na [[huduma]] zinatekelezwa na wageni ilhali wenyeji wanashika nafasi ya juu pekee; wengine wasio na vipaji vya kuongoza wanategemea malipo kutoka [[serikali]]. ▼
Emirati za [[Dubai]] na [[Sharjah]] zinazalisha pia petroli.
Sheria ya nchi inasema ya kwamba makampuni yote nchini yanapaswa kuwa mkononi mwa [[raia]] wazalendo. Hali halisi inamaanisha ya kwamba wageni wanaunda [[kampuni]] wakimtafuta mwenyeji anayekubali sehemu ya mali na malipo ya kila mwaka bila kufanya kazi; lakini bila mwenyeji katika uongozi kampuni hairuhusiwi kuendesha shughuli zake kama ni [[kiwanda]], [[duka]] au [[hoteli]]. ▼
Emirati nyingine zinategemea [[msaada]] unaotolewa na Abu Dhabi hasa kutokana na mapato yake; [[pesa]] hizo zinasaidia [[ujenzi]] wa [[barabara]] na [[miundombinu]] kwa jumla.
▲[[Kazi]] nyingi za [[ofisi|ofisini]], [[viwanda|viwandani]], katika [[biashara]] na [[huduma]] zinatekelezwa na wageni ilhali wenyeji wanashika nafasi ya juu pekee; wengine wasio na vipaji vya kuongoza wanategemea [[malipo]] kutoka [[serikali]].
▲[[Sheria]] ya nchi inasema ya kwamba [[Kampuni|makampuni]] yote nchini yanapaswa kuwa
Makampuni kutoka nje yanaweza kupata [[leseni]] ya biashara kwa muda katika kanda za pekee bila kumshirikisha mwenyeji.
Line 99 ⟶ 105:
* {{ar}} {{en}} [http://www.government.ae/ Tovuti ya serikali]
* {{en}} [http://www.uaeinteract.com/ UAEInteract.com]
* {{CIA World Factbook link|ae|United Arab Emirates}}
* [http://studiogexperts.com/ InterNet Website Services Provider IN UAE]
* {{Dmoz|Regional/Middle_East/United_Arab_Emirates}}
* [http://www.bbc.co.uk/news/world-middle-east-14703998 United Arab Emirates profile] from the [[BBC News]].
* [http://lebanese-economy-forum.com/world-facts/show/ae/ United Arab Emirates country profile] from the Lebanese Economy Forum, extracted from the CIA Factbook & Worldbank data.
* {{Wikiatlas|United Arab Emirates}}
* [http://wits.worldbank.org/CountryProfile/Country/ARE/Year/2011/Summary World Bank Summary Trade Statistics United Arab Emirates]
* [http://zeenews.india.com/news/world/uae-leaders-condole-syednas-death_905083.html Bohra caste relations]
{{mbegu-jio-Asia}}▼
{{asia}}
▲{{mbegu-jio-Asia}}
[[Jamii:Falme za Kiarabu| ]]
|