Tofauti kati ya marekesbisho "Kiongozi"

401 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
==Kiongozi==
Kiongozi ni mtu ambaye huchaguliwa na kikundi cha watu.[katika biblia kiongozi ni mtu ambaye huchagulawa na '''MUNGU''' kwa ajili ya kuongoza watu wake hapa '''Duniani'''] ambapo katika nchi nyingi duniani [[kiongozi]] hupatikana kwa wananchi kupigiwa kura ambapo watu mbalimbali wanaohitaji [[uongozi]] hupigiwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika [[jamii]] au kikundi cha watu hupatikana. Mara chache sana kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigiwa kura na pia katika jamii nyingine kiongozi hupatikana kwa '''kurithi''' ambapo [[mrithi]] huwa kiongozi kwa kurithi uongozi kutoka kwa kiongozi alie fariki na kuachia madaraka ya uongozi. mara nyingi kiongozi hupewa heshima ya juu katika [[jamii]], kikundi cha watu au katika[[ familia]] ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu.
==kiongozi katika familia==
kiongozi katika familia huwa ni mtu alienaumli familia husikamkubwa kulingana na watu katika familia husika ambapo kiongozi huwa nii baba mama katika familia ambapo baba ndio huwa kiongozi mkubwa katika familia ambae ndio huwa kiongozi mkubwa akifuatiwa na mama hususani katika famil. pia katika familia huwa na kiongozi wa ukoo ambapo bibi na babu huwa viongozi wa juuu.
118

edits