118
edits
Kiongozi ni mtu ambaye huchaguliwa na kikundi cha watu.[katika biblia kiongozi ni mtu ambaye huchagulawa na '''MUNGU''' kwa ajili ya kuongoza watu wake hapa '''Duniani'''] ambapo katika nchi nyingi duniani [[kiongozi]] hupatikana kwa wananchi kupigiwa kura ambapo watu mbalimbali wanaohitaji [[uongozi]] hupigiwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika [[jamii]] au kikundi cha watu hupatikana. Mara chache sana kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigiwa kura na pia katika jamii nyingine kiongozi hupatikana kwa '''kurithi''' ambapo [[mrithi]] huwa kiongozi kwa kurithi uongozi kutoka kwa kiongozi alie fariki na kuachia madaraka ya uongozi. mara nyingi kiongozi hupewa heshima ya juu katika [[jamii]], kikundi cha watu au katika[[ familia]] ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu.
==kiongozi katika familia==
kiongozi katika [[familia]] huwa ni mtu '''alienaumli''' mkubwa katika familia husikamkubwa kulingana na watu katika familia husika ambapo kiongozi huwa
|
edits