107,224
edits
(K) |
|||
'''Kiongozi''' ni mtu ambaye huongoza kikundi cha watu. Mara nyingi kiongozi hupewa [[heshima]] ya juu katika [[jamii]], kikundi cha watu au katika [[familia]] ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu.
==Kiongozi==▼
==
Katika nchi nyingi duniani [[kiongozi]] hupatikana kwa wananchi kupiga [[kura]] ambapo watu mbalimbali wanaogombea [[uongozi]] hupigwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika [[jamii]] au kikundi cha watu hupatikana.
Mara nyingine kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigwa kura.
Pia katika jamii nyingine kiongozi hupatikana kwa kurithi, ambapo [[mrithi]] huwa kiongozi kwa kurithi uongozi kutoka kwa kiongozi aliyefariki na kuachia [[madaraka]].
==Kiongozi katika familia==
Kiongozi katika [[familia]] huwa ni mtu aliye na [[umri]] mkubwa katika familia husika, ambapo viongozi huwa ni [[baba]] na [[mama]]. Katika familia nyingi baba ndio huwa kiongozi mkubwa akifuatiwa na mama.
Pia familia huweza kuwa na kiongozi wa [[ukoo]] ambapo [[bibi]] na [[babu]] huwa [[viongozi]] wa juu katika ukoo.
▲==Kiongozi katika Biblia==
Katika [[Biblia]] kiongozi ni mtu ambaye huchaguliwa na [[Mungu]] kwa ajili ya kuongoza watu wake hapa [[duniani]].
[[Jamii:Siasa]]
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Dini]]
|