Tofauti kati ya marekesbisho "Salawe"

1,125 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
No edit summary
Shughuli kuu wanzofanya katika kata hii ni kilimo , na zao kuu ambayo wanayategemea ni mpunga na mahindi. Kata ya Salawe inapakana na [[Mkoa wa Mwanza]].
==shughuli za kilimo==
wakazi wa katkata ya [[salawe]] wanajishughulisha na kilimo cha [[jembe]] la mkono ambapo wakazi wa kata hiyo hulima mazao kama vile [[mpunga]], [[mahindi]],[[nyanya]], [[viazi vitamu]] na [[ndengu]] pamoja na mbonga za majani kama vile [[msusa]] na mboga nyingine za majani. Mboga hizi za majani hupatika na kwa jianjia ya umwagiliaji. Wakati wa uvunaji wa mazao jamii ya watu wa kata ya salawe hujuuika kwa pamoja na mara nyingi muhusika mwenye mazao huandaa chula kwa ajiri ya shughuli hiyo wakati wa uvunaji wa mazao hayo.
==shughili za kibiashara==
katika kata ya salawe biashara inayo shika kasi kwa kiasi kikubwa ni biashara ya [[nyanya]] ambapo wakazi wengi hujishughulisha na zao hilo kibiashara katika kuwaingizia kipato cha kila siku. Shughuli nyingine ni kama vile biashara za wanyama kama vile [[ng'ombe]] [[kondoo]], [[mbuzi]] pamoja na [[ndege]] kama vile [[kuku]] pamoja na biashara nyingine wanazo fanya wanadamu.
==shughuli za kijamii==
katika shughuli za kijamii kama vile ndoa. Katika ndoa mwanaume hutoa [[mahari]] kubwa kama vile [[ng'ombe]] ishilini hususani mwanamke anapokuwa na rangi nyeupe au [[mweupe]], mara nyingi [[ndoa]] nyingi hifanyika kipindi cha kilimo ambapo watu huweza kuwa na chakula cha kutosha kwa ajiri ya tukio la [[harusi]]. Mahari hutorewa mara nyingi na baba wa mtoto anaeoa hususani mtoto wa kiume.Mara nyingi kinapo tokea kitu katika kata hii kama vile [[msiba]] watu wote hujumuika kwa pamoja.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
118

edits