Tofauti kati ya marekesbisho "Dolar ya Marekani"

39 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
d (Masahihisho aliyefanya 105.57.146.103 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Legobot)
[[Picha:USCurrency Federal Reserve.jpg|thumb|right|250px|Dola ya Marekani]]
'''Dola ya Marekani''' ('''US-Dollar''', kifupi '''USD''') ni [[pesa]] halali ya [[Marekani]]. [[Alama]] yake ni USD au mara nyingi alama ya [[dola (pesa)|dola]] tu '''$'''.
 
'''Dola ya Marekani''' ('''US-Dollar''', kifupi '''USD''') ni pesa halali ya [[Marekani]]. Alama yake ni USD au mara nyingi alama ya [[dola (pesa)|dola]] tu '''$'''.
 
Dola ya Marekani inapatikana kwa [[benknoti]] za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia [[sarafu]] ya dola 1.
 
Dola moja ina [[senti]] 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za [[nusu]] dola (half dollar, senti 50), [[robo]] dola (quarter, senti 25) na sarafu za senti 10 (dime), 5 (nickel) na 1 (penny).
 
Hadi mwaka [[1969]] noti ya dola ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu [[dhahabu]] kulingana na [[thamani]] ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.
 
Hadi 1969 benknoti ya dola ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani atampatia kila mtu [[dhahabu]] kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuibadilisha. Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dola ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa [[uchumi]] na thamani ya [[bidhaa]] zilizopo nchini.
 
Tangu mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] ([[1945]]) dola ya Marekani imekuwa pesa kuu [[duniani]] na sehemu kubwa ya [[biashara]] ya kimataifa hukadiriwa kwa bei za dola hizihizo. Lakini tangu kupatikana kwa [[Euro]] mwaka [[1999]] umuhimu wa dola ya Marekani imeanza kupungua polepole.
 
[[Jamii:Marekani]]