Tofali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''matofali''' matofali ni nyenzo mojawapo katika ujenzi wa nyumba, matofali ni wingi wa neno tofali. Matofali hutengenenzwa kwa kutumia udongo unaopati...'
 
No edit summary
Mstari 5:
==Aina za matofali==
kuna aina mbalimbali za matofali kutokana na udongo au mchanga unaotumika kutengeneza tofali lenyewe. Aina hizo zinazotokana na udongo au mchanga ni kama zifuatzo
*===Tofali la udongo===
*===Tofali la kuchoma===
*===Tofali la block===
==Tofali la udongo==
Hili ni tofali linalopatikana baada ya kuchanganya udongo mzuri ambao unashikamana vizuri na baada ya hapo udongo huchanganywa na maji ilikuweza kushikamana vizuri na baadae udongo huwekwa kwenye [[kibao]] maalumu ilikutoa tofali husika. Matofali haya ni maalumu kwa ajili ya nyumba za udongo hususani kwa watu wa hali ya chini maeneo ya vijijini maalumu kwa ajili ya makazi ya watu.