Tofali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''matofali'''
matofali ni nyenzo mojawapo katika ujenzi wa [[nyumba]], matofali ni wingi wa neno [[tofali]]. Matofali hutengenenzwa kwa kutumia udongo unaopatikana [[aridhini]] ambao huchanganywa na maji ili kuweza kushikamanisha udongo huo ili uweze kuwa tofali, Hivyo tofali hupatina pale ambapo udongo umeshikamanishwa kwa kutumia maji pamoja na vitu vingine kama vile simenti. Katika bara la Afrika nyumba nyingi zimejengwa kwa kutumia matofali, kuna aina tofauti tofauti za matofali kama vile matoflimatofali ya ''block'' kwa maana ya matofali yanayotokana na simenti, matofali ya kuchoma pamoja na matofali ya udongo.
==Uandaaji wa tofali==
kabla ya kuitwa tofali kitu cha kwanza ni kutafuta [[mchanga]] ususani kwa matofali ya simenti lakini kwa matofali ya udongo huwa ni kwanza kutafuta udongo mzuri kwa ajiri ya kushikamanisha na maji baadae. Kwa udongo wa [[Mfinyanzi]] ni mzuri kuliko udongo mwingine kwa kutengeneza tofali la udongo. lakini pia kwa matofali ya kuchoma huhitaji udongo mzuri pia unao shikamana kwaajirikwa ajiri ya kutangeneza tofali. baada ya kutafuta udongo mzuri zoezi la uchanganyaji wa maji huanza kwa aina zote za matofali, Mara nyingi utengenezaji wa matofali huitaji kibao kwa ajili ya kuandaa muundo maalumu wa tofali lenyewe maalumu kwa ajili ya ujenzi wanyumba
==Aina za matofali==
kuna aina mbalimbali za matofali kutokana na udongo au mchanga unaotumika kutengeneza tofali lenyewe. Aina hizo zinazotokana na udongo au mchanga ni kama zifuatzo
Mstari 11:
Hili ni tofali linalopatikana baada ya kuchanganya udongo mzuri ambao unashikamana vizuri na baada ya hapo udongo huchanganywa na maji ilikuweza kushikamana vizuri na baadae udongo huwekwa kwenye [[kibao]] maalumu ilikutoa tofali husika. Matofali haya ni maalumu kwa ajili ya nyumba za udongo hususani kwa watu wa hali ya chini maeneo ya vijijini maalumu kwa ajili ya makazi ya watu.
==Tofali la kuchoma==
Hili ni tofali linalopatikana baada ya kutengeneza tofali la udongo na kulichoma kwa kutumia moto ambao hutengenezwa kama [[Tanulu]] hususana katika nchi ya [[Tanzania]], ambapo matofali hupangwa vizuri na baadae huchomwa kwa pamoja kwa kutumia [[kuni]] au [[mapumba]] maalumu kwa kuchoma matofali. matofali haya hutumiwa mara nyingi na watu wa kaipatokipato cha kati maalumu kwa ajili ya kujenga nyumba.
==Tofali la block==
Hili ni tofali linalopatikana baada ya kutumia mchanga pamoja na kuchanganya na simenti tofali hili huwa ni tofali imara kupita matofali tajwa hapo juu na huweza kujenga nyumba imara sana. mara nyingi hutumiwa na watu wa kipato cha juu ilikuweza kujijengea nakazi imara.