Mkate : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Tengua pitio 935702 lililoandikwa na 143.207.148.113 (Majadiliano) |
|||
Mstari 1:
[[Picha:Baking Chapatis.jpg|thumb|Chapati]]
[[Picha:Mischbrot-1.jpg|thumb|Mkate wa Kijerumani uliotengenezwa kwa [[ngano nyekundu]]]]
▲[[Chapati]] ni aina ya mkate usiochac[[Picha:Balboa 20 bg 120603.jpg|thumb]]
[[Picha:Weißbrot-1.jpg|thumb|Mkate wa kifaransa]]
* wa kinyunga kilichochachuka ▼
'''Mkate''' ni chakula kinachotengenezwa kwa kuoka [[kinyunga]] cha [[unga]] na [[maji]]. Mara nyingi viungo huongezwa kwa kubadilisha ladha. Kuna pia mikate inayotiwa kiasi kidogo cha mafuta.
Kama kinyunga kinatengenezwa kwa kuongeza mafuta mengi, sukari na maziwa si mkate tena bali keki.
Kimsingi una aina mbili za mkata:
▲* mkate wa kinyunga kilichochachuka
* mkate wa kinyunga kisichochachuka
Mikate bapa aina ya chapati hutengenezwa katika sufuria au kaango au hata juu ya jiwe la joto. Mikate minene huhitaji joko (oveni) yaani jiko lenye chumba ndani yake. Lakini kuna pia aina za mikate bapa inayotengenezwa katika oveni.
=== Aina ya mikate
Aina mbalimbali za chapati hizi zinaongezwa ladha kwa kutia mafuta au viungo ndani yake.
|