Tofali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 23:
 
==Tofali la kuchoma==
[[picha:Handstrichziegel - Ziegelmeiler kurz vor der Fertigstellung(Aliwal North, Dukatole).jpg|200px|thumbnail|Tanuri ya matofali isiyomalizika; matofali bado ni mabichi]]
Hili ni tofali linalopatikana baada ya kutengeneza tofali la udongo na kulichoma kwa kutumia moto. Tanuri ya matofali unafunikwa kwa gana la udongo nje na chini yake moto inawaka kwa siku 2 au 3. Kutengeneza matoli wa njia hii ina gharama zaidi laini matofali yaliyochomwa hudumu zaidi hata penye mvua. Kiasi jinsi udongo mzuiri inapashwa moto zaidi matofali hutoka magumu na bora zaidi.