Tofali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 20:
 
==Tofali la udongo==
[[Picha:Handstrichziegel - Vorbereitung des Lehms (Aliwal North, Dukatole).jpg|200px|thumbnail|Udongo unaandaliwa kwa kuuchanganya na maji]]
Hili ni tofali linalopatikana baada ya kuchanganya udongo mzuri ambao unashikamana vizuri na baada ya hapo udongo huchanganywa na maji ili kuweza kushikamana vizuri na baadae udongo huwekwa kwenye kibao maalumu ilikutoa tofali husika. Matofali haya yanaweza kudumu kama yanatumiwa katika maeneo penye mvua kidogo. Lakini yakiloweshwa mara nyingi au kwa muda mrefu hupokea maji tena na kupoteza umbo. Inawezekana pia kufunika ukuta wa matofali yaliyokauka kwa simiti. Katika mazingira yabisi sana au jangwani majengo ya matofali yaliyokauka yamedumu karne kadhaa.