Tofali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
picha,, nyongeza, tahajia
Mstari 1:
[[Picha:Brick wall close-up view.jpg|thumbnail|Ukuta wa matofali yaliyochomwa kwa joto kubwa]]
[[Picha:Roskilde domkirke west fassade.jpg|thumbnail|Kanisa la Rosklide nchini Denmark ilijengwa kuanzia mwaka 1180 BK kwa kutumia matofali ya kuchomwa ]]
'''Tofali''' ni nyenzo inayotumiwa katika ujenzi wa [[majengo]]. Kimsingi ni kama jiwe linalotengenezwa na binadamu kutokana na udongo unaofaa hasahasa [[udongo kinamo]].
 
Line 15 ⟶ 17:
Kabla ya kuitwa tofali kitu cha kwanza ni kutafuta [[mchanga]] ususani kwa matofali ya simenti lakini kwa matofali ya udongo huwa ni kwanza kutafuta udongo mzuri kwa ajiri ya kushikamanisha na maji baadae. Kwa udongo wa mfinyanzi ni mzuri kuliko udongo mwingine kwa kutengeneza tofali la udongo. Lakini pia kwa matofali ya kuchoma huhitaji udongo mzuri pia unao shikamana kwa ajili ya kutangeneza tofali. Baada ya kutafuta udongo mzuri zoezi la uchanganyaji wa maji huanza kwa aina zote za matofali. Mara nyingi utengenezaji wa matofali huhitaji fremu ya kibao kwa ajili ya kuandaa muundo maalumu wa tofali lenyewe maalumu kwa ajili ya ujenzi wa nyumba.
 
Katika nchi mbalimbali kuna uzoefu wa kuchanganya udongo na manyasi makavu ndani yake; hii inasaidia kushikana tofali kwa ndani na kupunguza uzito.<ref>Linganisha taarifa ya Biblia katika kitabu cha Kutoka 5,6f: Waebrania walipaswa kutafuta manyasi makavu " Farao akawaamuru wasimamizi wa watu.. akisema, 5:7 Msiwape watu tena majani ya kufanyia matofali, kama mlivyofanya tangu hapo; na waende wakatafute majani wenyewe. "</ref>
 
==Aina za matofali==