Falme za Kiarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 61:
 
== Wakazi ==
Mwaka [[2013]], wakazi wote walifikia [[milioni]] 9.2; kati yao, 1.4 raia na 7.8 wahamiaji. Hivyo [[asilimia]] 85 za wakazi ni wageni, kumbe wenyeji ni sehemu ndogo tu. Zaidi ya nusu ya wageni wanatoka katika nchi za [[Bara Hindi]].
 
[[Lugha rasmi]] na ya kawaida ni [[Kiarabu]] ambacho wenyeji wanakisema kwa [[lahaja]] maalumu ya Ghuba ya Uajemi. Tangu wakati wa [[ukoloni]], [[Kiingereza]] kinatumika sana na kwa kawaida kinahitajika ili kupata kazi. Wahamiaji wanaendelea kutumia pia [[lugha]] zao za asili.
 
[[Uislamu]] ndio [[dini]] ya wenyeji (85% [[Wasuni]] na 15% [[Washia]]) na [[dini rasmi]] ya nchi, lakini kuna [[uhuru wa dini]] kwa wote, isipokuwa si uhuru wa kuieneza kwa wengine. Kati ya wakazi wote, Waislamu ni 76-77%, [[Wakristo]] (hasa [[Wakatoliki]]) ni 9-12%, [[Wahindu]] ni 4%, [[Wabuddha]] 2%, n.k.
 
== Uchumi ==