Uajemi : Tofauti kati ya masahihisho

715 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
no edit summary
Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured
No edit summary
Mstari 55:
}}
 
'''Uajemi''' (kutokana na [[Kar.Kiarabu]] '''العجم'''- al-'ajam; pia: '''Iran''' - '''ايران''') ni nchi ya [[Asia ya Magharibi. Imepakana na [[Afghanistan]], [[Armenia]], [[Azerbaijan]], [[Iraq]], [[Pakistan]], [[Uturuki]] na [[Turkmenistan]]. Upande wa kusini kuna mwambao wa [[Ghuba ya Uajemi]] ([[Bahari Hindi]]) na upande wa kaskazini ni mwambao wa [[Bahari ya Kaspi]].
Jina rasmi ya nchi ni '''Jamhuri ya Kiislamu ya Uajemi''' au Iran. Uajemi imejulikana tangu kale kama nchi iliyochangia mengi katika [[historia]] ya [[binadamu]].
 
Imepakana na [[Afghanistan]], [[Armenia]], [[Azerbaijan]], [[Iraq]], [[Pakistan]], [[Uturuki]] na [[Turkmenistan]].
[[Tehran]] ni [[mji mkuu]] pia mji mkubwa nchini.
 
Upande wa [[kusini]] kuna [[mwambao]] wa [[Ghuba ya Uajemi]] ([[Bahari Hindi]]) na upande wa [[kaskazini]] ni mwambao wa [[Bahari ya Kaspi]].
Jina rasmi ya nchi ni '''Jamhuri ya Kiislamu ya Uajemi''' au Iran. Uajemi imejulikana tangu kale kama nchi iliyochangia mengi katika historia ya binadamu.
 
[[Tehran]] ni [[mji mkuu]] pia mji mkubwa nchini.
 
== Dini ==
Uajemi iliwahi kuwa na [[dini]] zake za [[Uzoroasta]] na [[Umani]]. Kuanzia karne ya 4 BK idadi ya [[Ukristo|Wakristo]] ilikua. Tangu karne ya 7 Waarabu [[Uislamu|Waislamu]] walivamia Uajemi na kuifanya polepole kuwa nchi ya Kiislamu. Katika karne ya 16 [[Uislamu wa Kishia]] ulitangaziwa kuwa dini rasmi nchini.
Leo hii takriban asilimia 90 za wakazi ni Waislamu Washia. Karibu 10% ni Wasunni hasa katika maeneo karibu na mipaka; kiutamduni Wasunni wengi ni [[Wakurdi]], [[Wabaluchi]] au [[Waturkomani]].
 
Kuanzia [[karne ya 4]] [[BK]] idadi ya [[Ukristo|Wakristo]] ilikua.
Wafuasi wa dini nyingine kwa jumla ni kama 1% ya wakazi wote. Kundi kubwa ni [[Bahai]] lakini dini yao ilipigwa marufuku baada ya mapinduzi ya kiislamu. Kundi linalofuata ni Wakristo kati hao kundi kubwa ni Waarmenia. Wayahudi wa Uajemi ni kundi kubwa kati ya nchi zote za Kiislamu wa mashariki ya kati. Wazoroasta wamebaki pia. Kundi dogo sana ni Wamandeo wanaoitwa pia wafuasi wa [[Yohane Mbatizaji]].
 
Tangu [[karne ya 7]] [[Waarabu]] [[Uislamu|Waislamu]] walivamia Uajemi na kuifanya polepole kuwa nchi ya Kiislamu. Katika [[karne ya 16]] [[Uislamu wa Kishia]] ulitangaziwa kuwa [[dini rasmi]] nchini.
 
Leo hii takriban asilimia 90 za wakazi ni Waislamu Washia. Karibu 10% ni [[Wasunni]], hasa katika maeneo karibu na mipaka; kiutamduniki[[utamaduni]] Wasunni wengi ni [[Wakurdi]], [[Wabaluchi]] au [[Waturkomani]].
 
Wafuasi wa dini nyingine kwa jumla ni kama 1% ya wakazi wote. Kundi kubwa ni [[Bahai]] lakini dini yao ilipigwa marufuku baada ya mapinduzi ya kiislamuKiislamu. Kundi linalofuata ni WakristoWakristoː kati hao kundi kubwa ni [[Kanisa la Kitume la Armenia|Waarmenia]]. [[Wayahudi]] wa Uajemi ni kundi kubwa kati ya nchi zote za Kiislamu wa [[mashariki ya kati]]. Wazoroasta wamebaki pia. Kundi dogo sana ni Wamandeo[[Wamandayo]] wanaoitwa pia wafuasi wa [[Yohane Mbatizaji]].
 
== Historia ==
Tangu mwaka [[500]] BK ma[[kabila]] makabila madogo ya nchi yaliunganishwa, na hii ilikuwa mwanzo wa [[milki ya Uajemi]]. [[Mfalme]] [[Koreshi II]] aliunganisha Uajemi wote chini ya mamlaka yake akavamia [[Babelimamlaka]] nayake kuunganishaakavamia nchisehemu hizi. Wafuasi wake walipanusha milki hadiza [[MisriUturuki]], [[Uhindi]] na [[Ugiriki]]. Milki hii ilikwisha baada yawa kushindwaleo na [[Aleksanda Mkuu]]; lakini nasaba za [[WaparthiaBabeli]] na [[Wasasanidi]]kuunganisha waliendelea kufufusha milki ya Uajemi tena nanchi tenahizo.
 
Waandamizi wake walipanua milki hadi [[Misri]], [[Uhindi]] na [[Ugiriki]].
Baada ya uvamizi wa Waarabu Ujaemi ikatawaliwa kwa muda kama sehemu ya ukhalifa wa Uislamu lakini baada ya karne kadhaa nasaba za kieneo zilichukua utawala kwa jina la khalifa ila hali halisi kama watawala wa kujitegemea. Baada ya uvamizi wa [[Milki ya Wamongolia|Wamongolia]] nasaba ya wana wa [[Timur]] iliunganisha Uajemi pamoja na Afghanistan na Asia ya Kati.
 
Milki hiyo ilikwisha baada ya kushindwa na [[Aleksanda Mkuu]]; lakini [[nasaba]] za [[Waparthia]] na [[Wasasanidi]] waliendelea kufufua milki ya Uajemi tena na tena.
Tangu mwaka 1600 kitovu cha utawala kilirudi Uajemi penyewe chini ya nasaba za [[Safawi]] na [[Khadjari]].
 
Baada ya [[uvamizi]] wa Waarabu Ujaemi ikatawaliwawkatawaliwa kwa muda kama sehemu ya [[ukhalifa]] wa Uislamu lakini baada ya [[karne]] kadhaa nasaba za kieneo zilichukua [[utawala]] kwa jina la [[khalifa]] ila hali halisi kama watawala wa kujitegemea. Baada ya uvamizi wa [[Milki ya Wamongolia|Wamongolia]] nasaba ya wana wa [[Timur]] iliunganisha Uajemi pamoja na Afghanistan na Asia ya Kati.
Baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia afisa wa kijeshi [[Reza Khan]] alimaliza utawala wa Wakhadjari akaanzisha nasaba ya [[Pahlavi]]. Alijaribu kuleta matengenezo ya kimaendelo nchini akaiga katika mengo mfano wa [[Atatürk]] katika [[Uturuki]] jirani.
 
Baada ya uvamizi wa [[Milki ya Wamongolia|Wamongolia]] nasaba ya wana wa [[Timur]] iliunganisha Uajemi pamoja na Afghanistan na Asia ya Kati.
Utawala wa kifalme ulikwisha mwaka 1979 wakati wa mapinduzi ya Kiislamu chini ya uongozi wa [[Ayatollah]] [[Ruholla Khomeini|Khomeini]] yaliyoanzisha [[Jamhuri ya Kiislamu]]. Kipindi kifupi baada ya mapinduzi [[Vita kati ya Irak na Uajemi|Uajemi ilishambuliwa na Iraki]] na vita ya miaka 8 ilisababisha vifo vingi.
 
Tangu mwaka [[1600]] [[kitovu]] cha utawala kilirudi Uajemi penyewewenyewe chini ya nasaba za [[Safawi]] na [[Khadjari]].
Uhusiano na nchi za magharibi na hasa Marekani imekuwa mgumu tangu mapinduzi hasa baada ya la wanafunzi Waajemu kushambulia ubalozi wa Marekani katika Teheran na kuwateka Wamarekani kama makole. Fatwa ya Ayatollah Khomeini kudai kifo cha mwandishi Salman Rushdie iliongeza sifa za ukali za Uajemi.
 
Baada ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] [[afisa]] wa [[Jeshi|kijeshi]] [[Reza Khan]] alimaliza utawala wa Wakhadjari akaanzisha nasaba ya [[Pahlavi]]. Alijaribu kuleta matengenezo ya kimaendeloki[[maendeleo]] nchini akaiga katika mengomengi mfano wa [[Atatürk]] katika [[Uturuki]] jirani.
 
Utawala wa kifalme ulikwisha mwaka [[1979]] wakati wa mapinduzi ya Kiislamu chini ya uongozi wa [[Ayatollah]] [[Ruholla Khomeini|Khomeini]] yaliyoanzisha [[Jamhuri ya Kiislamu]]. Kipindi kifupi baada ya mapinduzi [[Vita kati ya Irak na Uajemi|Uajemi ilishambuliwa na Iraki]] na vita ya miaka 8 ilisababisha vifo vingi.
 
Kipindi kifupi baada ya mapinduzi [[Vita kati ya Irak na Uajemi|Uajemi ilishambuliwa na Iraki]] na [[vita]] vya miaka 8 ilisababisha [[Kifo|vifo]] vingi.
 
Uhusiano na [[nchi za magharibi]], na hasa [[Marekani]], imekuwaumekuwa mgumu tangu [[mapinduzi]], hasa baada ya la wanafunzi WaajemuWaajemi kushambulia [[ubalozi]] wa Marekani katikamjini Teheran na kuwateka Wamarekani kama makole. [[Fatwa]] ya Ayatollah Khomeini kudai kifo cha [[mwandishi]] [[Salman Rushdie]] iliongeza sifa za ukali za Uajemi.
Tangu [[uchaguzi]] wa [[Rais]] [[Mahmoud Ahmadinejad]] mwaka [[2006]] aliyetamka matishio dhidi ya nchi ya [[Israeli]] kuna mashaka juu ya mipango ya Uajemi kupanushakupanua [[teknolojia]] yake ya kinyukliaki[[nyuklia]] kwa [[hofu]] ya kwamba [[serikali]] yake inalenga kujenga [[bomu ya nyuklia]]. Mapatano yalichukua miaka hadi kufikiwa mwaka [[2015]].
== Utawala ==
Uajemi ni Jamhuri ya Kiislamu inayoongozwa na [[katiba]] yenye sehemu za kidemokrasiaki[[demokrasia]] na sehemu za kidini.
== Muundo wa mamlaka ==
Uajemi ni Jamhuri ya Kiislamu inayoongozwa na katiba yenye sehemu za kidemokrasia na sehemu za kidini.
 
[[Mamlaka]] kuu iko mkononi[[mikono]]ni mwa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi anayesimamia [[siasa]] ya nchi kwa jumla; yeye ni [[amiri jeshi mkuu]] na msimamizi mkuu wa [[huduma]] ya [[usalama]]; pia anaratibu siasa ya nje. Anateua wakuu wa jeshi, [[redio]] na [[televisheni]], viongozi wa [[salat]] wa [[msikiti]] mkuu katika kila [[mji]], [[jaji mkuu]] na [[mwendesha mashataka mkuu]] halafu nusu ya wajumbe wa Halmashauri ya Walinzi wa Katiba wanaokubali au kukataa sharia zote zilizopitishwa bungeni[[bunge]]ni wakiwa na mamlaka kusimamisha wagombea kwa uchaguzi wa kitaifa. Anaweza kumwachisha rais. Kiongozi mkuu huchaguliwa na Mkutano wa Wataalamu wa Uongozi kwa muda wa maisha yake. [[Ayatollah Khamenei]] ni Kiongozi Mkuu wa pili tangu mapinduzi ya Kiislamu.
 
Serikali inayoongozwa na rais wa Uajemi aliye na nafasi ya pili baada ya Kiongozi Mkuu. Huchaguliwa na wananchi wote kwa kipindi cha miaka 4 na anaweza kuchaguliwa upya. Wagombea wanahitaji kukubaliwa na Halmashauri ya Walinzi wa Katiba. Rais anaongoza serikali na kazi yake. Katika mambo ya siasa ya nje, jeshi na siasa ya nyuklia yuko chini ya mamlaka ya kiongozi mkuu.
Bunge inayoitwa "majlis" ina [[wabunge]] 290 waliochaguliwa kwa muda wa miaka 4. Wagombea wote wanahitaji kibali cha Halmashauri ya Walinzi wa Katiba. Majlis inatunga sheria za nchi na kukubali [[makisio]] ya serikali na mikataba ya kimataifa. Sheria zote zilizopita bungeni zinahitaji tena kibali cha halmashauri ya walinzi.
 
Halmashauri ya Walinzi wa Katiba ni chombo muhimu sana kinachohakikisha mamlaka kuu ya kiongozi mkuu. Ina wajumbe 12 ambao ni [[wanasheria]]. 6 wanateuliwa moja kwa moja na Kiongozi Mkuu. 6 wengine wanachaguliwa na [[bunge]] kati ya majina wanaopelekwa mbele na jaji mkuu - anayeteuliwa na Kiongozi Mkuu. Kwa hiyo kiongozi mkuu anaamua juu ya wajumbe wote waliomo katika halmashauri hii, hakuna anayeweza kuwa mjumbe bila [[kibali]] chake ama moja kwa moja au kupitia jaji mkuu aliyeteuliwa naye.
 
==Mikoa==
''<small>tazama makala "[[{{main|Mikoa na wilaya za Uajemi]]"</small>''}}
Uajemi imegawiwaumegawiwa kwa [[mikoa]] 31 inayoitwa "ostan" chini ya [[gavana]] anayeteuliwa na rais. Kila mkoa huwa na [[wilaya]] (shahrestan) na ngazi ya chini zaidi ni [[mitaa]] (bakhsh). Chini ya mitaa kuna [[kata]] (dehestan) zinazojumlisha vijiji kadhaa.
 
== MarejeoTanbihi ==
{{marejeo}}
 
==Viungo vya nje==
{{Mbegu-jio-Asia}}
{{commons|Iran}}
* [http://www.leader.ir/langs/en/ The e-office of the Supreme Leader of Iran]
* [http://www.president.ir/en/ The President of Iran]
* [http://en.iran.ir/ Iran.ir]
* {{CIA World Factbook link|ir|Iran}}
* {{dmoz|Regional/Middle_East/Iran}}
* {{Wikiatlas|Iran}}
 
{{Asia}}
{{Mbegu-jio-Asia}}
 
<!-- interwiki -->