Tofauti kati ya marekesbisho "Kaizari"

3 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
No edit summary
Kaizari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa [[Uajemi]], Tenno wa [[Japani]], Huangdi wa [[China]] na [[Negus Negesti]] wa [[Ethiopia]] hutajwa kwa cheo cha "Kaizari".
 
Malkia [[Viktoria wa Uingereza)|Viktoria]] alitumia cheo cha Kaizari ("empress") kama mtawala wa [[Uhindi]] tangu [[1877]].
 
Wakati wa [[ukoloni]] mtawala mkuu wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] alikuwa [[Kaizari Wilhelm II]] wa Ujerumani; kwenye [[sarafu]] ya [[rupia]] alionyeshwa pamoja cheo kwa lugha ya [[Kilatini]] "imperator".
 
Rais [[Jean-Bedel Bokassa]] alijitangaza kuwa Kaizari ("empereur") wa [[Afrika ya Kati]] mwaka [[1977]] akiiga mfano wa [[Napoleon Bonaparte]] aliyejiwekea [[taji]] la Kaizari ya [[Ufaransa]] mwaka [[1804]]. Bokassa alipinduliwa [[1979]] na nchi kuwa [[jamhuri]] tena.