Walutheri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
 
==Muundo, imani, liturujia==
Muundo wao wa kanisa ni ama [[dayosisi]]/jimbo au kanisa la kitaifa.

[[Asilimia]] kubwa ya Walutheri wako pamoja katika [[Shirikisho la Kilutheri Duniani]] (Lutheran World Federation) lenye [[makao makuu]] mjini [[Geneva]], [[Uswisi]].
 
Msingi wao ni [[Biblia ya Kikristo]] yenye vitabu 66 tu.
 
Walutheri husisitiza mafundisho ya [[Katekisimu]] zilizotungwa na Martin Luther. Mafundisho yake yalipofanywa kuwa rasmi, katika Ujerumani makanisa ya Kilutheri yaliendeshwa kama [[idara]] za [[serikali]] za sehemu za Kilutheri chini ya uongozi wa [[wataalamu]] wa [[teolojia]], lakini katika [[karne ya 20]] kanisa na serikali vilitengana.
Wanaadhimisha [[sakramenti]] 2, yaani [[Ubatizo]] na [[Chakula cha Bwana]].
 
Kumbe hali hiyo inadumu mpaka leo katika nchi za Skandinavia (Sweden, Norway, Denmark n.k.) ambapo [[wafalme]] waliamua kugeuza Kanisa zima la nchi zao kuwa la Kiinjili-Kilutheri. Ila Sweden Walutheri waliendelea na cheo cha uaskofu na desturi nyingi za Kanisa la kale, wakifanana zaidi na [[Waanglikana]] wa [[Uingereza]].
 
WanaadhimishaWalutheri wote wanaadhimisha [[sakramenti]] 2, yaani [[Ubatizo]] na [[Chakula cha Bwana]].
 
==Tanbihi==