Walutheri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 4:
 
==Uenezi==
Madhehebu ya Kilutheri yalienea nje ya [[Ulaya Kaskazini]] kule ambako Wajerumani na Waskandinavia walihamia, kama vile Marekani.
 
[[Bara]]ni [[Afrika]] Walutheri wako hasa katika nchi zilizokuwa ma[[koloni]] ya Ujerumani, kama vile Tanzania, Namibia na [[Kamerun]], lakini pia Ethiopia.
 
Idadi yao ni kama milioni 75<ref>[http://www.lwf-assembly2003.org/lwf-interspire/display.php?M=3044&C=b689f8daad9f7e69d74486021000dfec&S=639&L=22&N=674 Takwimu ya Walutheri duniani mwaka 2012 ]</ref>na wanazidi kuongezeka barani [[Asia]] na [[Afrika]], huku wakipungua sehemu nyingine.