Waanglikana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q6423963 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Altar.stmaryredcliffe.arp.jpg|thumb|250px|Altare ya St Mary Redcliffe, [[Bristol]].]]
 
'''Anglikana''' ni [[madhehebu]] ya [[Ukristo]] yenye asili ya [[Uingereza]].
 
Katika [[karne ya 16]] [[mfalme]] [[Henry VIII]] alitenga [[Kanisa]] la nchi hiyo na [[Kanisa Katoliki]].

Baada ya [[farakano]] hilo, yalifanyika mabadiliko mbalimbali upande wa [[imani]], [[ibada]] na [[sheria]] kuelekea [[Uprotestanti]]. Hata hivyo mwelekeo wa Kikatoliki uliendelea kuwepo, na bado una nguvu, hasa katika baadhi ya [[dayosisi]]. Hasa miaka hii ya mwisho imeona mvutano kati ya pande hizo mbili kuongezeka hata kusababisha umoja kulegea.
 
Katika karne zilizofuata, kutokana na uenezi wa himaya ya Uingereza duniani, Anglikana ilienea sehemu nchi, na leo ina wafuasi wengi hasa [[Afrika]] ([[Nigeria]], [[Uganda]] n.k.). Kwa jumla wanazidi milioni 70.
 
Majimbo yake 27 yanajitegemea, lakini yanaunda kwa pamoja [[ushirika]] mmoja. Maaskofu wake wote wanakutana [[Lambeth]] kila baada ya miaka 10 chini ya [[Askofu mkuu]] wa [[Canterbury]].
 
==Historia==
== Viungo vya nje ==
Mfalme Henri VIII alitawala Uingereza miaka [[1509]]-[[1547]], wakati wa [[Martin Luther]].
 
Alikuwa Mkatoliki aliyependa [[Kanisa]] lake. Lakini alikuwa na matatizo mawili juu ya [[Papa]] wa [[Roma]].
 
Kwanza kabisa Uingereza ulikuwa na [[wajibu]] wa kumlipa Papa kila [[mwaka]] [[kodi]] ya pekee, tofauti na ma[[taifa]] mengine ya [[Ulaya]].
 
Pili, huyo mfalme alikuwa na tatizo la binafsi: alishindwa kuzaliana na [[mke]] wake [[mtoto]] [[Mwanaume|wa kiume]] atakayerithi [[ufalme]]. Basi, akamwomba Papa apate [[Ndoa|kumwoa]] mwingine, lakini Papa alikataa kutokana na [[sheria za Kanisa]].
 
Henri, aliyekuwa mtu wa [[hasira]], aliitisha [[Bunge la Uingereza]] akawalazimisha [[wabunge]] kutangaza kwamba mfalme ndiye mkuu wa kanisa nchini. Halafu [[bunge]] lilikubali [[talaka]] yake.
 
[[Azimio]] lingine lilikuwa kutolipia tena kodi kule Roma, hivyo ikaingia katika [[mfuko]] wa Mfalme mwenyewe. Lakini Henri hakupenda mabadiliko katika mafundisho ya [[imani]] na [[desturi]] za [[ibada]].
 
Baada ya [[kifo]] chake viongozi wa taifa waliamua kutengeneza kanisa kwa jumla. Hasa [[nyumba]] za [[watawa]] zilifungwa na [[mali]] zao zikachukuliwa na mfalme.
 
[[Askofu Mkuu]] Cranmer akachukua mafundisho mengi ya Luther na [[Calvin]], lakini katika desturi za nje alibadilisha taratibu chache tu.
 
Hivyo Kanisa la Uingereza likajitokeza kuwa na hali mbili. Wale wanaokaza sana urithi wa kale pamoja na [[liturujia]] (mavazi ya wachungaji, kupiga ma[[goti]], kufanya [[alama]] ya [[msalaba]] kwa [[mkono]] wakati wa [[sala]], kutunza kumbukumbu ya [[watakatifu]]) wanaitwa "High Church (Kanisa la juu)". Waanglikana wengine, waliovutwa zaidi na [[matengenezo ya Kiprotestanti]] na kutojali sana urithi wa kale wanaitwa "Low Church (Kanisa la chini)".
 
Kwa mambo ya nje wale wa "juu" wanafanana na Wakatoliki, na wale wa "chini" wanafanana zaidi na Wareformati. Lakini Waanglikana hujisikia kuwa na [[umoja]]; kwa kweli walifaulu kuliko madhehebu mengine kuunganisha pande zote mbili na kuepuka hatari ya kufarakana kama ilivyotokea mahali pengine.
 
Waanglikana wako katika nchi zote zilizokuwa chini ya [[ukoloni]] wa Kiingereza, kwani huko [[wamisionari]] wao waliweza kufanya kazi kwa urahisi.
 
"Majimbo" ya Waanglikana (Jimbo la [[Tanzania]], Jimbo la [[Kenya]], Jimbo la [[Uganda]] n.k., kila jimbo likiwa na ma[[dayosisi]] mbalimbali) hujitegemea, pamoja na kumkubali Askofu wa [[Canterbury]] (Uingereza) kuwa kiongozi wa kiroho kama [[mwenyekiti]] wa maaskofu wa Kianglikana lakini hana [[utawala]].
 
Siku hizi Waanglikana wa [[Marekani]] wamekuwa wa kwanza kumbariki [[askofu wa kike]] (ni [[Mnegro]]) na askofu [[shoga]], lakini katika suala la kupokea [[wanawake]] katika [[ukasisi]] na [[uaskofu]] na vilevile katika suala la ushoga majimbo yao yametofautiana kiasi cha kuelekea [[farakano]].
 
[[Bara]]ni [[Afrika]] tunasikia hasa jina la [[Desmond Tutu]], Askofu Mwanglikana aliyetetea [[haki]] za Waafrika dhidi ya [[ubaguzi wa rangi]] [[Afrika Kusini]].
 
== Viungo vya nje ==
*[http://www.cofe.anglican.org/ Church of England, official site]
*[http://www.allsouls.org/ascm/allsouls/static/index.html All Souls' Church, London, Evangelical].
 
[[Category:Ukristo]]
 
[[sv:Anglikanska kyrkogemenskapen]]