Shirika la Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 83 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q36380 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:StPierreParis.jpg|thumb|222px|[[Kanisa]] la Saint Pierre de Montmartre [[Paris]] ([[Ufaransa]]).]]
[[Picha:Regimini militantis Ecclesiae.jpg|thumb|222px|Mchoro wa ukutani wa [[Johann Christoph Handke]] kuhusu [[Papa Paulo III]] kupitisha sheria za shirika.]]
 
'''Shirika la Yesu''' (kwa [[Kilatini]] Societas Iesu, kifupi ''S.J.'' au ''S.I.'' au ''SJ'' au ''SI'') ni shirika kubwa la [[watawa]] [[wanaume]] 19,216 katika [[Kanisa Katoliki]], lililoenea katika [[nchi]] 112 za [[kontinenti]] 6.
 
Wanashirika wanaitwa '''Wajesuiti''' na ni maarufu pia kwa [[elimu]] yao ya juu katika fani mbalimbali, za kidunia na za kidini.
 
Mwanzilishi wake ni [[Ignas wa Loyola]], [[Mhispania]] ambaye, kishaalikuwa [[mwanajeshi]]. Mwaka [[1521]] alijeruhiwa vibaya [[Vita|vitani]]. Alipokaa [[hospitali|hospitalini]] muda mrefu akasikia [[wito]] wa [[Mungu]] uliobadilisha [[maisha]] yake. Kisha kuacha [[jeshi]], alifuataakamtolea [[Bikira Maria]] [[upanga]] wake akawa "Mwanajeshi wa Kiroho". Alifuata kwa juhudi zote [[maisha ya kiroho]] na kutunga [[Mazoezi ya Kiroho]] ili kuongoza watu wamfuate [[Yesu Kristo]].
 
Mwaka [[1534]], Ignas alikusanya [[vijana]] sita wakaweka [[nadhiri]] za [[ufukara]], [[useja mtakatifu]] na [[utiifu]], halafu ile ya kumtii daima [[Papa]].
 
Kisha kusoma [[teolojia]] [[Upadrisho|akapadrishwa]]. Akakusanya kikundi cha marafiki akiwaongoza kujenga maisha ya kiroho kwa njia ya mazoezi ya pekee. Wote walifuata utaratibu uleule. Kila mwaka walikutana kwa kipindi cha sala, kutafakari na kusoma kilichofuata hatua au mbinu maalumu. Wengi walianza kumfuata na chama chake kikakubaliwa na Papa mwaka [[1540]].
 
Shirika la Yesu lilikuwa chombo muhimu sana cha [[urekebisho wa Kikatoliki]] kikiwa [[jumuia]] ya [[padri|mapadri]] iliyoongozwa na "[[Jenerali]]" wake akitumia [[nidhamu]] ya kijeshi.
 
[[Shabaha]] kuu ilikuwa kutetea [[Kanisa]] chini ya Papa.
 
Kila mwanachama alitakiwa kuwa na elimu ya juu. Hivyo Kanisa Katoliki liliimarika katika teolojia, jambo lililowahi kukazwa zaidi na [[Waprotestanti]].
 
Mapadri Wajesuiti walifanya hasa kazi ya [[ualimu]] wakiunda [[shule]] na kufundisha vijana elimu pamoja na [[upendo]] kwa Kanisa Katoliki.
 
Mkazo mwingine ulikuwa kufufua utaratibu wa [[Kitubio|maungamo]]. Popote [[Ulaya]] Wajesuiti walikuwa washauri hasa wa [[watawala]] Wakatoliki. Waliposikiliza ungamo la [[dhambi]] zao walipata nafasi nzuri ya kuwapa mawazo na kusababisha hatua za [[serikali]] dhidi ya Waprotestanti.
 
Hivyo kwa [[athari]] ya Wajesuiti polepole Uprotestanti ulirudi nyuma katika nchi za Ulaya ambako wakazi wengi walikuwa wameanza kufuata mafundisho ya [[Martin Luther]] na [[Calvin]] lakini watawala walikuwa bado Wakatoliki.
Mwaka [[1534]], Ignas alikusanya vijana sita wakaweka [[nadhiri]] za [[ufukara]], [[useja mtakatifu]] na [[utiifu]], halafu ile ya kumtii daima [[Papa]].
 
== Viungo vya nje ==