Shirika la Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Wanashirika wanaitwa '''Wajesuiti''' na ni maarufu pia kwa [[elimu]] yao ya juu katika fani mbalimbali, za kidunia na za kidini.
 
==Historia==
[[Mwanzilishi]] wake ni [[Ignas wa Loyola]], [[Mhispania]] ambaye alikuwa [[mwanajeshi]]. Mwaka [[1521]] alijeruhiwa vibaya [[Vita|vitani]]. Alipokaa [[hospitali|hospitalini]] muda mrefu akasikia [[wito]] wa [[Mungu]] uliobadilisha [[maisha]] yake. Kisha kuacha [[jeshi]], akamtolea [[Bikira Maria]] [[upanga]] wake akawa "Mwanajeshi wa Kiroho". Alifuata kwa juhudi zote [[maisha ya kiroho]] na kutunga [[Mazoezi ya Kiroho]] ili kuongoza watu wamfuate [[Yesu Kristo]].
 
Mwaka [[1534]], Ignas alikusanya [[vijana]] sita wakaweka [[nadhiri]] za [[ufukara]], [[useja mtakatifu]] na [[utiifu]], halafu ile ya kumtii daima [[Papa]].
Line 85 ⟶ 86:
 
=== Vyombo vya habari ===
{{Tasafiri}}
* The BBC Radio 4 ''In Our Time'' programme on 18 Januari 2007 was devoted to the early history and educational role of the Jesuits; the programme's website offers a free podcast and 'listen again' service [http://www.bbc.co.uk/radio4/history/inourtime/ In Our Time website]
* [http://www.pray-as-you-go.org Pray-as-you-go]: latest initiative by the British Jesuits, providing daily prayer in MP3 format for use "on the go"
Mstari 91:
* [http://www.jesuitswisprov.org/jesuits_video.htm Contemporary Jesuits speak about their [[Jesuit vocation]], the vows, and the mission of the Society of Jesus (Real Player)]
* [http://www.sjweb.info/jesuits/saints.cfm Jesuits Saints and Blessed]
 
 
[[Jamii:Mashirika ya kitawa| ]]
[[Jamii:Wajesuiti]]
[[Jamii:Historia ya Kanisa]]
[[Jamii:Mageuzo ya Kanisa]]