Tofauti kati ya marekesbisho "Tanzanaiti"

81 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 23 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q429942 (translate me))
No edit summary
'''Tanzanaiti''' ni [[kito]] chenye rangi ya buluu hadi dhambarau na kijani. Inachimbwa katika kaskazini ya [[Tanzania]].
 
Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka [[1967]] katika milima ya [[Mererani]] kwenye [[Wilaya ya Simanjiro]], karibu na [[Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro]]. mji wa [[Arusha]]. Kito hiki inapendwa sana kimataifa bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja (=milli[[gramu]] 200).
 
Kikemia ni aina ya madini ya Zoiziti ambayo haina thamani kubwa vile katika maumbo mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha moto fuwele za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.