Dini rasmi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 21:
 
== Dini rasmi leo ==
Katika nchi nyingi tumezoea kwamba [[nchi isiyo na dini|serikali haina dini]]. Kila [[mwananchi]] ni huru kuchagua imani yake. Kumbe wazo hilo si la kawaida popote duniani.
 
Mpaka leo tunasikia habari za nchi zinazotoa [[kipaumbele]] kwa dini au madhehebu fulani upande wa serikali. Kule [[Uingereza]] [[mfalme]] au [[malkia]] anapaswa kuwa Mkristo wa [[Anglikana|Kianglikana]] naye ni [[mlezi]] mkuu wa Kanisa la Kianglikana. Kule [[Denmark]] na [[Sweden]] wafalme wanapaswa kuwa Wakristo [[Walutheri|wa Kilutheri]]. Katika nchi nyingi za [[Waarabu]] [[Rais]] awe Mwislamu wa madhehebu ya [[Sunni]]. Kule [[Iran]] Rais huchaguliwa kati ya wataalamu Waislamu wa madhehebu ya [[Shia]]. Taratibu hizo ni mabaki ya utaratibu ambao miaka 200 iliyopita ulikuwa kawaida katika sehemu nyingi za dunia.
 
Kwa sasa, dini rasmi katika nchi tofautitofauti ni [[Ukristo]], [[Uislamu]] na [[Ubuddha]]. Suala la haki za [[Uyahudi]] nchini [[Israeli]] ni la pekee.
Line 118 ⟶ 121:
 
===Uyahudi===
*[[Israel]]
 
== Tanbihi==