Uajemi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
|leader_titles = [[Kiongozi Mkuu wa Uajemi|Kiongozi Mkuu]]<br /> [[Rais wa Uajemi|Rais]]
|leader_title2 = [[Rais wa Uajemi|Rais]]
|leader_names = [[Ali Khamenei]] <br /> [[MahmoudHassan Ahmadi-NejadRouhani]]
|leader_name2 = [[Hassan Rouhani]]
|largest_city = [[Tehran]]
Mstari 27:
|area_magnitude = 1 E12
|percent_water = 0.7%
|population_estimate = 6878,467192,413 200<ref name="pop_est">{{cite"official population web|clock as of March 17, 2015". url=http://www.sciamar.org.ir/Englishold/SEL/j-shvro-84.htm| title="Selected Statistical Information"| first=Government of Iran| last=Statistical Centre| accessdate=2006-04-14}}</ref>
|population_estimate_year = 20052013
|population_estimate_rank = ya 18
|population_density = 4248
|population_densitymi² =109124 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
|population_density_rank = ya 158162
|population_census = 60,055,488 <ref name="pop_cen">{{cite web| url=http://www.sci.org.ir/Englishold/SEL/F2/S2_16S.htm| title="Population by Religion and Ostan, 1375 Census (1996 CE)"| first=Government of Iran| last=Statistical Centre| accessdate=2006-04-14}}</ref>
|population_census_year = 1996
Mstari 63:
Upande wa [[kusini]] kuna [[mwambao]] wa [[Ghuba ya Uajemi]] ([[Bahari Hindi]]) na upande wa [[kaskazini]] ni mwambao wa [[Bahari ya Kaspi]].
 
[[Tehran]] ni [[mji mkuu]], pia mji mkubwa nchini.
 
== Dini ==
Uajemi iliwahi kuwa na [[dini]] zake za [[Uzoroasta]] na [[Umani]].
 
Kuanzia [[karne ya 4]] [[BK]] idadi ya [[Ukristo|Wakristo]] ilikua.
 
Tangu [[karne ya 7]] [[Waarabu]] [[Uislamu|Waislamu]] walivamia Uajemi na kuifanya polepole kuwa nchi ya Kiislamu. Katika [[karne ya 16]] [[Uislamu wa Kishia]] ulitangaziwa kuwa [[dini rasmi]] nchini.
 
Leo hii takriban asilimia 90 za wakazi ni Waislamu Washia. Karibu 10% ni [[Wasunni]], hasa katika maeneo karibu na mipaka; ki[[utamaduni]] Wasunni wengi ni [[Wakurdi]], [[Wabaluchi]] au [[Waturkomani]].
 
Wafuasi wa dini nyingine kwa jumla ni kama 1% ya wakazi wote. Kundi kubwa ni [[Bahai]] lakini dini yao ilipigwa marufuku baada ya mapinduzi ya Kiislamu. Kundi linalofuata ni Wakristoː kati hao kundi kubwa ni [[Kanisa la Kitume la Armenia|Waarmenia]]. [[Wayahudi]] wa Uajemi ni kundi kubwa kati ya nchi zote za Kiislamu wa [[mashariki ya kati]]. Wazoroasta wamebaki pia. Kundi dogo sana ni [[Wamandayo]] wanaoitwa pia wafuasi wa [[Yohane Mbatizaji]].
 
== Historia ==
Tangu mwaka [[500]] BK[[KK]] ma[[kabila]] madogo ya nchi yaliunganishwa, na hii ilikuwa mwanzo wa [[milki ya Uajemi]]. [[Mfalme]] [[Koreshi II]] aliunganisha Uajemi wote chini ya [[mamlaka]] yake akavamia sehemu za [[Uturuki]] wa leo na [[Babeli]] na kuunganisha nchi hizo.
 
Waandamizi wake walipanua milki hadi [[Misri]], [[Uhindi]] na [[Ugiriki]].
Line 113 ⟶ 102:
{{main|Mikoa na wilaya za Uajemi}}
Uajemi umegawiwa kwa [[mikoa]] 31 inayoitwa "ostan" chini ya [[gavana]] anayeteuliwa na rais. Kila mkoa huwa na [[wilaya]] (shahrestan) na ngazi ya chini zaidi ni [[mitaa]] (bakhsh). Chini ya mitaa kuna [[kata]] (dehestan) zinazojumlisha vijiji kadhaa.
 
==Watu==
Iran ina mchanganyiko wa makabila na dini uliounganishwa na [[utamaduni]] na [[lugha]] ya [[Kiajemi]], ambayo inatumiwa na wananchi walio wengi na ndiyo [[lugha rasmi]], ikifuatwa na lugha nyingine za jamii ya [[Lugha za Kihindi-Kiulaya|Kihindi-Kiulaya]], lakini pia za jamii nyingine kama [[Kiazeri]] (16%) na [[Kiarabu]] (2%).
 
=== Dini ===
Uajemi iliwahi kuwa na [[dini]] zake za [[Uzoroasta]] na [[Umani]].
 
Kuanzia [[karne ya 4]] [[BK]] idadi ya [[Ukristo|Wakristo]] ilikua.
 
Tangu [[karne ya 7]] [[Waarabu]] [[Uislamu|Waislamu]] walivamia Uajemi na kuifanya polepole kuwa nchi ya Kiislamu. Katika [[karne ya 16]] [[Uislamu wa Kishia]] ulitangaziwa kuwa [[dini rasmi]] nchini.
 
Leo hii takriban asilimia 90 za wakazi ni Waislamu Washia. Karibu 10% ni [[Wasunni]], hasa katika maeneo karibu na mipaka; ki[[utamaduni]] Wasunni wengi ni [[Wakurdi]], [[Wabaluchi]] au [[Waturkomani]].
 
Wafuasi wa dini nyingine kwa jumla ni kama 1% ya wakazi wote. Kundi kubwa ni [[Bahai]] lakini dini yao ilipigwa marufuku baada ya mapinduzi ya Kiislamu. Kundi linalofuata ni Wakristoː kati hao kundi kubwa ni [[Kanisa la Kitume la Armenia|Waarmenia]], halafu [[Kanisa Katoliki la Wakaldayo|Wakaldayo]]. [[Wayahudi]] wa Uajemi ni kundi kubwa kati ya nchi zote za Kiislamu wa [[mashariki ya kati]] (0.01%). Wazoroasta wamebaki pia (0.03%). Kundi dogo sana ni [[Wamandayo]] wanaoitwa pia wafuasi wa [[Yohane Mbatizaji]].
 
== Tanbihi ==