Wadudu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza nondo
No edit summary
Mstari 20:
*** Oda nyingi (angalia matini)
}}
'''Wadudu''' wa kweli (tazama [[mdudu]]) ni kundi la [[arithropodi]] wadogo kiasi ambalo lina [[spishi]] nyingi [[dunia]]ni. [[biolojia|Kibiolojia]] wako katika [[ngeli]] ya [[Insecta]].
 
Wadudu wanashirikiana kuwa na [[muundo]] wa [[kiwiliwili]] chenye pande tatu za [[kichwa]] mbele, [[kidari]] katikati na [[fumbatio]] nyuma, halafu [[jozi]] tatu za [[miguu]] na kwa kawaida jozi mbili za [[mabawa]]. Kwa nje kiwiliwili kinafunikwa kwa [[khitini]] yenye kazi ya [[kiunzi nje]].
 
Hadi sasa [[wataalamu]] waliainisha zaidi ya spishi [[milioni]] moja1 za wadudu na [[kadirio|makadirio]] ni labdakwamba kuna spishi nyingi zaidi, labda hadi milioni 30.
 
Wadudu wanaishi takriban kila mahali [[duniani]]. Spishi nyingi zinapatikana katika sehemu za [[tropiki]] na idadi inapungua penyekwenye [[baridi]]. Lakini kuna hata spishi moja iliyopatikana [[Antaktika]]. Wadudu ni wachache sana [[Bahari|baharini]] lakini hata hapahumo kuna spishi chache.
 
==Uainishaji==
Mstari 82:
****** Oda [[Lepidoptera]] ([[kipepeo|vipepeo]], [[nondo]])
 
==Viungo vya nje==
 
{{commonscat|Insecta|Wadudu}}
{{mbegu-biolojia}}