Wimbo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Wimbo''' au '''nyimbo''' ni aina ya [[sanaa]] katika [[fasihi]] ambayo hutumia lugha teule, sauti na kiimbo maalumu. Aghalabu wimbo/nyimbo hutumia ala za mziki kama vile ngoma. Nyimbo zinaweza kuimbwa na mtu mmoja au zaidi.
Wimbo hugawanywa katika beti na mishororo. Nyimbo nyingi huwa na kiitikio au mstari ambao hurudiwa-rudiwa. AINA ZA NYIMBO
Za ndoa
Za dini
Za tohara
Mbolezi
Za mpenzi
Bembelezi
Za kazi
 
==Aina za nyimbo=nyimbo za ndoa=