Mikoa ya Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 262:
 
===Utawala wa Kijerumani===
Wakati wa ukoloni wa Kijerumani eneo la Tanzania Bara (=Tanganyika) lilikuwa pamoja na [[Rwanda]] na [[Burundi]] kama [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]. Mwaka 1913 eneo lote liligawiwa kwa mikoa 21 na maeneo matatu ya wawakilishi wakazi. Mikoa 19 ilikuwa chini ya wakuu wa mkoa wa kawaida yaani maafisa waraia Wajerumani ([[jer.]] ''Bezirksleiter'' au ''Bezirkamtsmann'') waliyemwakilisha gavana na mikoa miwili ilikuwa chini ya mamlaka ya kijeshi yaani afisa wa jeshi la kikoloni la [[schutztruppe]].
 
Mikoa ya kawaida ilikuwa:
Mstari 293:
 
Maeneo ya [[Bukoba]] (takriban sawa na [[Mkoa wa Kagera]] wa leo), [[Ruanda]] na [[Urundi]] yaliendelea kutawaliwa na watawala wao wa kieneyeji wakiangaliwa na [[mwakilishi mkazi]] wa Ujerumani aliyekuwa kama balozi, mshauri mkuu na msimamizi wa watawala hao.
 
===Utawala wa Kiingereza===
Tangu mwaka 1918/1919 eneo la Tanganyika lilikuwa [[eneo la kudhaminiwa]] kwa Uingereza bila maeneo ya Rwanda (Ruanda) na Burundi (Urundi). Tanganyika likigawiwa mwaka 1922 kuwa na mikoa ileile ilhali majina ya Kijerumani yalibadilishwa kuwa majina ya kienyeji kama vile <ref>http://www.statoids.com/utz.html</ref>: