Musoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 17:
 
}}
'''Musoma''' ni [[mji]] wa [[Tanzania]] uliopo kandokwenye yamwambao wa mashariki ya [[Ziwa Viktoria]] inapakana na [[Wilaya ya RoryaMusoma kwa upande wa KaskaziniVijijini]]. Ni makao makuu ya [[Mkoa wa Mara]]. Musoma inaimepata [[Halmashauri]]halmashauri mbilina ambazo ni [[Halmashaurihadhi ya Manispaa ya Musoma]] na [[Halmashauri ya Wilaya ya Musomamanisipaa]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa mji huo ilihesabiwa kuwa 108,242 <ref>[http://web.archive.org/web/20031218001127/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/musomaurban.htm Matokeo ya sensa ya 2002 kwa mkoa wa Mara]</ref>.
[[Picha:Musoma_Seeufer.jpg|thumb|left|Tembo beach]]
 
==Historia==
Kabla ya ukoloni eneo la Musoma ilkuwa nchi ya Wakabwe, kundi la Wajaluo waliowahi kuhamia hapa.<ref>Siso - Shetler, uk. 75</ref> Wajerumani wa kwanza walifika mnamo mwaka 1910 walikuwa wamisionari kwa jina la Dominik na Paulo waliojenga makazi na hule karibu na makao ya Mtemi Nyabange<ref>Kutokana na maelezo katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]] Nyabange iliyoitwa "Njawangi" nau ilkuwa takriban kilomita 10 upande wa mashariki wa Musoma kwenye mwambao wa hori ya ziwa, angalia makala "Muansa" na "Njawangi" katika kamusi hii</ref> wakafuatwa na afisa wa kwanza Mjerumani aliyeitwa na wenyeji "Bwana Sirusi" mwenye kazi ya afisa forodha. Huyu Sirusi alihamia mahali pa Musoma ya leo kwa sababu huko kina ya maji ufukoni kilifaa zaidi kwa meli kufika<ref>Siso - Shetler, uk. 79</ref>. Hivyo Musoma ilianzishwa kama bandari na baadaye makao ya ofisi mdogo wa [[Mikoa_ya_Tanzania#Utawala_wa_Kijerumani|Mkoa wa kikoloni wa Mwanza]]. Baada ya kuondolewa kwa Wajerumani Waingereza waliingia. Katika [[eneo la kudhaminiwa]] la [[Tanganyika]] Musoma ilikuwa makao makuu ya wilaya (''district'') ikaingia vile katika Tanzania huru.
 
== Marejeo na Viungo vya Nje ==
* <references/>
*[https://books.google.co.uk/books?id=-Ers-_hrLv8C&pg=PA212&lpg=PA212&dq=musoma+tanganyika&source=bl&ots=tMhrPRLKmD&sig=0fGZwcRPK5P8HCUw7brQiAXrrf4&hl=de&sa=X&ved=0CCcQ6AEwAWoVChMI3dz01sLjyAIVAZYUCh2mCQ14#v=onepage&q=musoma&f=false Zedekia Oloo Siso, Jan Bender Shetler: Grasp the Shield Firmly, the Journey is Hard: A History of Luo and Bantu Migrations to North Mara (Tanzania), 1850-1950; African Books Collective, 2010]
 
{{Kata za Manisipaa ya Musoma}}
[[Kigezo:Kata za Manispaa ya Musoma]] ni Buhare | Bweri | Iringo | Kamunyonge | Kigera | Kitaji | Makoko | Mukendo | Mwigobero | Mwisenge | Nyakato | Nyamatare | Nyasho
 
{{mbegu-jio-mara}}