Musoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 22:
==Historia==
Kabla ya ukoloni eneo la Musoma ilkuwa nchi ya Wakabwe, kundi la Wajaluo waliowahi kuhamia hapa.<ref>Siso - Shetler, uk. 75</ref> Wajerumani wa kwanza walifika mnamo mwaka 1910 walikuwa wamisionari kwa jina la Dominik na Paulo waliojenga makazi na hule karibu na makao ya Mtemi Nyabange<ref>Kutokana na maelezo katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]] Nyabange iliyoitwa "Njawangi" nau ilkuwa takriban kilomita 10 upande wa mashariki wa Musoma kwenye mwambao wa hori ya ziwa, angalia makala "Muansa" na "Njawangi" katika kamusi hii</ref> wakafuatwa na afisa wa kwanza Mjerumani aliyeitwa na wenyeji "Bwana Sirusi" mwenye kazi ya afisa forodha. Huyu Sirusi alihamia mahali pa Musoma ya leo kwa sababu huko kina ya maji ufukoni kilifaa zaidi kwa meli kufika<ref>Siso - Shetler, uk. 79</ref>. Hivyo Musoma ilianzishwa kama bandari na baadaye makao ya ofisi mdogo wa [[Mikoa_ya_Tanzania#Utawala_wa_Kijerumani|Mkoa wa kikoloni wa Mwanza]]. Baada ya kuondolewa kwa Wajerumani Waingereza waliingia. Katika [[eneo la kudhaminiwa]] la [[Tanganyika]] Musoma ilikuwa makao makuu ya wilaya (''district'') ikaingia vile katika Tanzania huru.
 
Mwalimu [[Julius Nyerere]] alisoma shule hapa Musoma kuanzia mwaka 1934 na mwaka 1953 tarehe 21 Januari alirudi kufunga ndoa hapa na Maria Waningu Gabriel Magige katika kanisa la kikatoliki Musoma Mwisenge <ref>[https://books.google.co.uk/books?id=qDE3BAAAQBAJ&pg=PA231&lpg=PA231&dq=tanganyika+administration+musoma&source=bl&ots=t33uimYIhS&sig=RiDh-PWDkXTWdUeGxBb7hR9EG6s&hl=de&sa=X&ved=0CD8Q6AEwBWoVChMIn_v57sLjyAIVAscUCh1uRAG7#v=onepage&q=musoma&f=false Thomas Molony, Nyerere: The Early Years , Boydell & Brewer Ltd, 2014 , uk. 189]</ref>.
 
== Marejeo na Viungo vya Nje ==