Tanganyika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 26:
 
== Tanganyika Territory ya Kiingereza baada ya kuondoka kwa Wajerumani ==
Mwaka 1919 sehemu kubwa ya koloni la Kijerumani ilikabidhiwa rasmi mikononi mwa Uingereza kama [[eneo la kukabidhiwakudhaminiwa]] chini ya [[mamlaka]] ya [[Shirikisho la Mataifa]] kulingana na kifungo 22 cha mkataba wa Versailles.
 
Mwaka [[1922]] Shirikisho la Mataifa lilithibitisha hatua hiyo na kuamua ma[[sharti]] ya kukabidhi.