Tofauti kati ya marekesbisho "Nile ya buluu"

579 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
(Sorry i don't speak Swedish. I think that it's the same item. Remember to merge wikidata item too.)
 
[[Picha:Nile ya buluu.png|thumb|290px|Ramani ya Nile ya buluu]]
'''Nile ya buluu''' ni tawimto mkubwa wa mto Nile. Inaanza katika [[Ziwa Tana]] kwenye nyanda za juu za [[Ethiopia]] ikiitwana kwakutelemka jinahadi la [[Abbai]]Sudan. Mdomo wake ni [[Sudan]] mjini [[Khartum]] inapounganika na [[Nile nyeupe]] na kuunda mto wa Nile mwenyewe.
 
Kwa jumla Nile ya bluu inabeba maji mengi kushinda Nile nyeupe.
 
'Ndani ya nchi Ethiopia mto huitwa kwa jina ''Abbai''' (''mto mkubwa'', pia '''Abay''' au '''Abai''') ni [[mto]] mkubwa kabisa katika [[Ethiopia]].
 
Baada ya kutoka Ethiopia na kuingia [[Sudan]] inaitwa kwa ([[Kiarabu]]: النيل الأزرق; '''an-nīl al-azraq''').
 
Ina chanzo chake kwenye kimo cha mita 1800 juu ya [[UB]] inapotoka katika [[Ziwa Tana]] katika nyanda za juu za Ethiopia. Kwanza inaelekea kusini-mashariki lakini inabadilika mwelekeo kwenda magharibi halafu kaskazini.
 
Waethiopia wengi wanasemekana kuitazama kama mto mtakatifu.