Kirgizia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|bg}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 55:
}}
 
'''Kirgizia''' (pia ''Kirgiztan'', ''Kirigizistani'' au ''Kigistani''; kwa [[Kikirgizi]]: Кыргызстан ''(Kyrghyzstan)''; kwa [[Kirusi]]: Киргизия ''(Kirgizia)'', pia ''Kirgiztan'', ''Kirigizistani''au ''Kigistani'') ni nchi ya [[Asia ya Kati]]. Imepakana na [[Kazakhstan]], [[Uzbekistan]], [[Tajikistan]] na [[China]]. Neno "Kyrgyztan" lamaanisha "nchi ya makablia 40" kwa lugha ya Kikirgizi.
 
Imepakana na [[Kazakhstan]], [[Uzbekistan]], [[Tajikistan]] na [[China]].
== Wakazi ==
 
Idadi ya wakazi ilihesabiwa 2005 kuwa watu 5,264,000. Takriban 70 % kati yao ni Wakirgizi wenyewe, halafu kuna [[Warusi]] (9 %), [[Wauzbeki]] (14.5%) hasa katika kusini. Takriban tatu robo ni [[Waislamu]].
==Jina==
Neno "Kyrgyztan" linamaanisha "nchi ya ma[[kabila]] 40" kwa [[lugha]] ya Kikirgizi. Ukweli ni kwamba kwa sasa yako 80 na zaidi.
 
[[Picha:Kyrgystan Map FBOI2005.gif|thumbnail|left|240px|Ramani ya Kirgizia]]
 
== Historia ==
Hadi mwaka [[1991]] Kirgizia ilikuwa sehemu ya [[Umoja wa Kisovyet]]., Ilijulikanaikijulikana kwa jina la "[[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kikirgizi]]" hadi 1991. Ilipata uhuru wake katika mwendo wa kuporomoka kwa Umoja wa Kisovyeti.
 
Ilipata [[uhuru]] wake katika mwendo wa kuporomoka kwa Umoja wa Kisovyeti.
Kabla ya uhuru yalitokea mabadiliko katika uongozi wa chama cha kikomunisti. Viongozi wapya waliotafuta njia bila udikteta kali walishika uongozi na rais [[Askar Akayev]] alirudishwa madarakani katika uchaguzi wa kwanza na wa pili.
 
Kabla ya uhuru yalitokea mabadiliko katika [[uongozi]] wa [[chama cha kikomunisti]]. Viongozi wapya waliotafuta njia bila [[udikteta]] kalimkali walishika uongozi na [[rais]] [[Askar Akayev]] alirudishwa madarakani[[madaraka]]ni katika [[uchaguzi]] wa kwanza na wa pili.
Lakini uchaguzi wa mwaka 2005 ulionekana haukuwa huru na hasira ya wananchi ikalipuka katika mapinduzi. Uchaguzi mpya ukamteua mpinzani wa awali Kurmanbek Bakiyev aliye rais kwa sasa.
 
Lakini uchaguzi wa mwaka [[2005]] ulionekana haukuwa huru, nahivyo [[hasira]] ya wananchi ikalipuka katika [[mapinduzi]]. Uchaguzi mpya ukamteua [[mpinzani]] wa awali [[Kurmanbek Bakiyev]] aliye rais kwa sasa.
== Vijisehemu ==
 
== Mgawanyo kiutawala ==
[[Picha:Kyrgyzstan provinces map.png|thumbnail|left|350px|Ramani ya mikoa ya Kirgizia]]
Hii ni orodha ya mikoa ya Kirgizia pamoja na miji[[makao makuu]] mkuuyake:
# [[Bishkek]] (''[[mji]]'')
# [[Mkoa wa Batken]] ([[Batken]])
# [[Mkoa wa Chuy]] ([[Bishkek]])
Line 81 ⟶ 85:
# [[Mkoa wa Talas]] ([[Talas, Kyrgyzstan|Talas]])
# [[Mkoa wa Issyk Kul]] ([[Karakol]])
 
== Wakazi ==
Idadi ya wakazi ilihesabiwa 2005 kuwa watu 5,264,000. Takriban 7072.6 % kati yao ni Wakirgizi wenyewe, halafuambao kunani jamii ya [[WarusiWaturuki]] (9halafu %),kuna [[Wauzbeki]] (14.54 %) hasa katika [[kusini.]] Takribanna tatu[[Warusi]] robo(6.4 ni%) hasa [[Waislamukaskazini]], mbali na makundi madogo zaidi.
 
Lugha ya kawaida ni Kikirgizi, ambacho ni [[lugha rasmi]] pamoja na Kirusi.
 
Takriban 64% ni [[Waislamu]], lakini kuna [[uhuru wa dini]]. [[Wakristo]] wako hasa katika ya wakazi wenye asili ya [[Ulaya]], wakiwemo kwanza [[Waorthodoksi]], halafu [[Waprotestanti]] na [[Wakatoliki]] wachache.
 
== Viungo vya nje ==
{{commons}}
* {{en}} {{ky}} {{ru}} [http://www.gov.kg/ Tovuti rasmi ya serikali]
 
{{commons}}
{{Asia}}
{{Mbegu-jio-Asia}}