Tofauti kati ya marekesbisho "Afya"

156 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[File:NewZealand-Stamp-1933-Health.jpg|thumb|422x422px|<nowiki>[[Stempu]] ya [[posta]] ya [[New Zealand]], mnamo mwaka [[1933]]</nowiki>.]]
'''Afya''' ni hali ya kujisikia vizuri ki[[mwili]] na ki[[roho]] bila kusumbuliwa na [[ugonjwa]] wowote.
 
Sawa na suala la ugonjwa, hakuna elezo kamili kuhusu hali ya afya.
 
=== Fafanuzi za afya ===
* [[Shirika la Afya Duniani]] (WHO) lilitoa ufafanuzi ufuatao: "Afya ni hali ya [[ustawi]] kamili kimwili, kiroho na ki[[jamii]] na zaidi ya kukosa ugonjwa." <ref><nowiki>http://www.who.int/bulletin/archives/80(12)981.pdf ''WHO definition of Health''</nowiki></ref>
 
* Kwa watu wengi ni hali ya kutosumbuliwa na [[maumivu]] na [[udhaifu]], pamoja na uwezo wa kutumia sehemu zote za mwili. Ni wazi ya kwamba [[hisia]] hii ni tofauti kati ya mtu na mtu.
 
=== Tanbihi =Majukumu==
[[Serikali]] zinatarajiwa kujenga [[hospitali]] nyingi hata [[kijiji|vijijini]] kwa sababu watu wengi hupoteza maisha kwa kukosa [[huduma]] za afya.
 
== Tanbihi ==
<references />
 
* [http://ucblibraries.colorado.edu/govpubs/us/health.htm Health and Medical Information] from the University of Colorado
 
{{mbegu-tiba}}
 
[[Jamii:Afya]]