Musoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d →Historia: tahajia |
||
Mstari 22:
==Historia==
Kabla ya ukoloni eneo la Musoma ilkuwa nchi ya Wakabwe, kundi la Wajaluo waliowahi kuhamia hapa.<ref>Siso - Shetler, uk. 75</ref> Wajerumani wa kwanza walifika mnamo mwaka 1910 walikuwa wamisionari kwa jina la Dominik na Paulo waliojenga makazi na hule karibu na makao ya Mtemi Nyabange<ref>Kutokana na maelezo katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]] Nyabange iliyoitwa "Njawangi"
Mwalimu [[Julius Nyerere]] alisoma shule hapa Musoma kuanzia mwaka 1934 na mwaka 1953 tarehe 21 Januari alirudi kufunga ndoa hapa na Maria Waningu Gabriel Magige katika kanisa la kikatoliki Musoma Mwisenge <ref>[https://books.google.co.uk/books?id=qDE3BAAAQBAJ&pg=PA231&lpg=PA231&dq=tanganyika+administration+musoma&source=bl&ots=t33uimYIhS&sig=RiDh-PWDkXTWdUeGxBb7hR9EG6s&hl=de&sa=X&ved=0CD8Q6AEwBWoVChMIn_v57sLjyAIVAscUCh1uRAG7#v=onepage&q=musoma&f=false Thomas Molony, Nyerere: The Early Years , Boydell & Brewer Ltd, 2014 , uk. 189]</ref>.
|