Mkoa wa Dodoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
namba ya 2012, wilaya mpya
No edit summary
Mstari 22:
==Wakazi na utamaduni==
Idadi kubwa ya wakazi asilia ni [[Wagogo]]. Kondoa kuna Wangulu na pia [[Wasandawe]] wanaotumia lugha ya aina ya [[Khoikhoi]]. Wanasemekana ya kwamba babu zao wamewahi kukaa eneo la Tanzania kabla ya kuingia kwa Wabantu. Kondoa kuna pia sehemu penye michoro ya kale juu ya uso ya miamba ya aina ya Khoikhoi inayofanana na sanaa ya kale huko [[Zimbabwe]] au [[Afrika Kusini]]. [[Kongwa]] kuna Wakaguru, Wagogo, na Wamasai; na [[Mpwapwa]] kuna Wahehe, Wagogo, na Wakaguru.
 
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
* Chemba
* Bahi
* Kibakwe
* Mpwapwa
* Mtera
* Chilonwa
* Dodoma Mjini
* Kongwa
* Kondoa Mjini
* Kondoa Vijijini
 
{{Mikoa ya Tanzania}}