Mkoa wa Mbeya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
maneno uwanja yalitumika kimakosa badala ya neno Uwanda
No edit summary
Mstari 58:
 
Mito mikubwa ni [[Songwe (mto)|Songwe]] na [[Kiwira (mto)|Kiwira]]. Chanzo ya [[mto Ruvuma]] iko pia Mbeya katika tambarare ya [[Usangu]].
 
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
* Mbeya Mjini
* Mbeya Vijijini
* Mbarali
* Rungwe
* Busokelo
* Ileje
* Mbozi
* Vwawa
* Momba
* Tunduma
* Lupa ([[Wilaya ya Chunya]])
* Songwe ([[Wilaya ya Chunya]])
* Kyela
 
 
==Viungo vya nje==